Kwani wamezuiwa?Kesho jumapili waachen watu wafanye ibada sawa
Leo Unapika nn Mkuu.Kwani wamezuiwa?
Naenda kuzulula leoLeo Unapika nn Mkuu.
Hiyo hali ikikutokea...na maanisha kuota au kuwaza, roho kukuuma au moyo kwenda mbio then kitu kibaya kinatokea.Ndio nipo Mimi mwenye experience ya hayo mambo... At least wewe unaota ukiwa umelala lakini Mimi huwa naota kwa hisia mchana kweupeeeeee.
Naweza nikatembea njiani, nikapata hisia kwamba kuna jambo fulani linaenda kunitokea hapo mbele na litaleta madhara haya na kweli lazima litokee kwa namna ile ile.
Na matatizo yangu yote binafsi ambayo yamewahi kunikuta huwa nayajua siku kadhaa nyuma kabla hayajanitokea, iwe kwa hisia au kwa ndoto za usiku ila kitu ambacho kinanitatiza hadi sasa ni kwamba nikishaona hayo maono huwa ni lazima yatokee hata ufanyeje kwa maana hakunaga solution juu yake.
Kwahiyo nipo hapa ndugu yako katika ndoto 😅😅😅
Mimi ni mtu ambae niko positive sana mkuu, sijawahi kuwa na stress zozote juu ya maisha yangu and sijawahi kuogopa kitu kinachoitwa kifo.Naona hiyo ni Law of attraction +subconscious Mind .
Unatumia muda mwingi kuwaza na kuzalisha negative thoughts
Kwahiyo Auto suggestion yako huwa inachukua negative na inakurudia negative in physical realm
Jaribu Ku-practice meditation uondoe huo uchafu .
Kufikiria jambo baya na likakutokea ni issue ya subconscious zaidi .
Tumia muda mwingi kuwa na productive and healthy thought.
Nifundishe namna ya kufanya hayo maombi mkuu😊😊Hiyo hali ikikutokea...na maanisha kuota au kuwaza, roho kukuuma au moyo kwenda mbio then kitu kibaya kinatokea.
Cha kufanya hapo ni kupiga maombi ya kuzuia hicho kitu kibaya kisikuguse, au kukutokea.
Binafsi huwa inanitokea, nikipotezea inakula kwangu, nikiomba inapotea juu kwa juu au inaenda kwingine...sometimes huwa nawaambia wadau kwamba leo Kuna jambo litatokea....hapo nishipiga maombi.
Mungu bado anatupenda ingawa tuna mambo mengi.
Mimi huwa ni negative tuu na jinsi ya kuzuia najua.Katika experience yangu ya maisha ya namna hiyo, mambo mengi ambayo yamenijia kihisia ni negative kwamfano naweza nikawa natembea njiani ghafla kuna picha ya kihisia inanijia kwamba mbele nitakutana na jiwe au something nitakanyaga nitateleza nitaanguka nitatumia sehemu fulani then nitaenda home/hospital watanipa huduma fulani ya kwanza na kweli inatokea kama ilivyo😂😂... na jambo la ajabu zaidi hisia hizo zikinijia nakua sina alternative ya kukwepa jambo hilo.
Kwenye ndoto za usiku ndio kuna mchanganyiko na yale ya positive kwa kiasi chake.
Bado nipo napekua hapa na pale ili nione kama naweza kupata ufumbuzi juu ya mambo hayo yote.
Una jitakasa kwa damu ya Yesu, tubu dhambi zako, una takasa watu wako wa karibu kwa kuwataja majina halafu una weza omba kwa kukataa taarifa mbaya zozote, kama unahisi ajali basi unazuia ajali au kitu chochote.Nifundishe namna ya kufanya hayo maombi mkuu😊😊
Ooh😅😅Mimi huwa ni negative tuu na jinsi ya kuzuia najua.
Nikipuuzia nadhurika.
Hiyo ya kuanguka nilikua Moshi vijijini asubuhi najiandaa kuamka...nikawaza nikifika sehemu fulani kuchukua maji nitajikwaa na kuanguka.
Nikakemea hiyo hali lakini sio kwa umakini sana...basi nilivyofika pale nilijikwaa nikayumba ila sikuanguka...
Nikamu hadithia shangazi yangu pale akashangaa tuu basi.
Hiyo ya roho kuuma huwa ni dalili yangu moja wapo ya kupokea taarifa mbaya lakini pia hiyo siku nitashinda napiga sana miayo basi hali hiyo ikinipata najua muda wowote kuna taarifa mbaya naipokea😅😅😅.Una jitakasa kwa damu ya Yesu, tubu dhambi zako, una takasa watu wako wa karibu kwa kuwataja majina halafu una weza omba kwa kukataa taarifa mbaya zozote, kama unahisi ajali basi unazuia ajali au kitu chochote.
Maana muda mwingine roho inaweza kukuuma tuu bila sababu.
Nilivyokua kinder kuna kipindi roho iliniuma siku nzima kama mara Tatu hivi nyakati tofauti.
Mara zote hizo walifariki watu wangu wa muhimu, nikishapata tuu taarifa roho inatulia....so ningekuwa na maarifa haya ningefanya maombi labda kuzuia au lolote.
Kama hauna dhambi Sawa, unaweza kuwatakasa wanao kuzunguka.Hiyo ya roho kuuma huwa ni dalili yangu moja wapo ya kupokea taarifa mbaya lakini pia hiyo siku nitashinda napiga sana miayo basi hali hiyo ikinipata najua muda wowote kuna taarifa mbaya naipokea😅😅😅.
Na kuhusu hapo kwenye kutubu dhambi, Mimi sina dhambi mkuu😂😂😂
Sawa mkuu, nitaanza kufanya hivyo.Kama hauna dhambi Sawa, unaweza kuwatakasa wanao kuzunguka.
NB,USITOE TENA MIFANO HII NA IWE MWISHO KUSIMULIA TENA HAYA MAMBO.UTAHATARISHA NAFSI YAKO.Sijawahi kumwambia mtu kuhusu hii hali ambayo imekuwa inanitokea kwa miaka zaidi ya 10 sasa hasa toka nimpoteze Kaka yangu.
Tulicheza pamoja, Soma pamoja alikuwa kama best friend japo alinizidi miaka 3.
Kwanza japo amefariki zaidi ya miaka 10 sasa lakini karibu kila siku lazima niote tupo wote.
Pili, naota matukio ambayo yanatokea baadae. Nikiota jambo usiku mchana litatokea. Hii haitokei kila siku ila nikiota jambo litatokea.
Nilipokuwa nasoma kuna kipindi niliota maswali ya UE na nilikuwa sijajiandaa na mtihani. Siku hiyo niliamka nikawaambia wana nimeota maswali haya na haya yapo kwenye mtihani hawakuamini tulipoingia kwenye mtihani wakadhani nilikuwa na paper.
Kuna jamaa tuna-hang naye mtaani nikawaambia wana huyu jamaa nimeota kafuta kazi. Week 4 sio nyingi jamaa alisimamishwa kazi kwa kuiba pesa ya ofisi. Iliniuma saana kwasababu ningemsanua asingepoteza kazi.
Jana usiku jambo lililonifanya niandike uzi niliota ninapigana na mtu. Kabla hata siku haijaisha naendesha kidogo nikagusa gari la mama mmoja akatoka akaanza kunitukana lakini sikumsemesha neno.
Mfano mdogo kama nina jambo natafuta solutions nikilala basi nitaota namna ya kulitatua.
Siamini katika ulimwengu usioshikika.... I'm too realistic...sipo hapa kutafuta waganga wa kienyeji au msaada wa kiroho...I'm 100% perfect and I don't need another human being to tell me how imperfect I am.
Swali ni je Kuna watu wengine wana experience haya mambo?
Hii ni mifano michache tu....
Nadhani huu ni ushauri mzuri saana.Ndoto ni lugha au taarifa ambayo ulimwengu unakupa ili uifanyie kazi au kuchukua hatua. Wengi wanapuuzia kwa kutokujua.
Uwe naandika na kurekodi ndoto zako itakusaidia na kuwasaidia wengine pia.
Jamaa ni kama Mimi. Tupo wengi hii ni kweli mkuu Mimi Kuna siku nipo dodoma nimekata tikti ya kwenda manyara gari ya saa 12 asbh basi nikiwa nimelala nikaota Ile gari imepata ajari na watu2 wamekufa na wamenifukwa na kanga...Nakala imfikie Nikifa MkeWangu Asiolewe