Capitano
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 1,959
- 1,633
Kama mada inavyojipambanua kuwa ni swali. Nimekutana na wadau wa masuala ya afya wakijadili kuwa ati kuna binadamu wana ukosefu wa kitu gani sijui kwenye damu yao na hivyo kuwafanya hata wakikumbana na virus wale HIV bado hawataweza kuugua UKIMWI.
Wataalamu hapa JF naomba mtufafanulie kama ni kweli jambo hili lipo? Na kama ni kweli watu wa namna hiyo wanajitambuaje kirahisi au huwa wana dalili zipi?
Wataalamu hapa JF naomba mtufafanulie kama ni kweli jambo hili lipo? Na kama ni kweli watu wa namna hiyo wanajitambuaje kirahisi au huwa wana dalili zipi?