Je, kuna watu ambao hawaambukizwi UKIMWI?

Sawa kwa taarifa hii lakini ungenipa facts za kitaalamu kwanini haiwezi kuwa mimi ingefaa zaidi na pia ungesaidia wengi
Hao watu ni wachache sana duniani humu usiwasikilize wanaoongea ongea humu hamna lolote.

Hiyo kukutana na wanawake wengi afu hujapata ukimwi kusikudanganye ndg ni kutokana na ukweli kwamba wenye ukimwi ni wachache sana duniani hapa na pia ni bahati tu km wengi inavyowatokea kwmb wanatembea na wanawake wengi lkn bado hawana virusi ila ww km unadhani upo hvyo basi fanya kitu kimoja tafuta mwanamke mwenye virusi af tembea naye rough zen ulete mrejesho humu.
 
Hao watu ni wachache sana duniani humu usiwasikilize wanaoongea ongea humu hamna lolote, hyo kukutana na wanawake wengi afu hujapata ukimwi kusikudanganye ndg ni kutokana na ukweli kwamba wenye ukimwi ni wachache sana duniani hapa na pia ni bahati tu km wengi inavyowatokea kwmb wanatembea na wanawake wengi lkn bado hawana virusi ila ww km unadhani upo hvyo basi fanya kitu kimoja tafuta mwanamke mwenye virusi af tembea naye rough zen ulete mrejesho humu.
Nilivyoelewa hapa kuwa siwezi kuwa mimi kwasababu wako wachache sana duniani na mimi siwezi kuwa katika hao wachache. Mmmmh bado sijapata sababu za kisayansi kwanini haiwezekani kuwa mimi ni mmoja wa hao wachache
 
Nilivyoelewa hapa kuwa siwezi kuwa mimi kwasababu wako wachache sana duniani na mimi siwezi kuwa katika hao wachache. Mmmmh bado sijapata sababu za kisayansi kwanini haiwezekani kuwa mimi ni mmoja wa hao wachache
Mkuu ukitaka kuamini kwamba ni ww au co ww endelea kuokota malaya mwisho utajua tu mkuu.
 
Mkuu ukitaka kuamini kwamba ni ww au co ww endelea kuokota malaya mwisho utajua tu mkuu.
Mimi wala sijawahi kuokota malaya hata siku moja na ni mtu mzima sasa. Tangu nizaliwe nimekuwa mtu mpole tu. The issue hapa lilikuwa suala la kitaalamu nadhani au labda mie ndo uelewa wangu mdogo pengine
 
Hadi sasa nashangaa nakaribia kuimaliza 2020 nikiwa sikohoi Mungu ni mkubwa kwani niliotafuna huwa inafikia narudia kuwatongoza yaani nishasahau kama nishadate nae
 
Back
Top Bottom