yitzhak
JF-Expert Member
- Jul 3, 2019
- 616
- 853
- Thread starter
- #161
Ahsante kwa kuweka kumbukumbu sawa
Mimi ndiyo niko sahihi. Cardinal Laurean Rugambwa alichaguliwa kuwa Cardinal wa kwanza Mwafrika kutoka Africa akiwa ni Askofu wa Jimbo kuu la Bukoba.
Na alihudumu kama Cardinal kutokea Bukoba hadi 1968 alipohamishiwa DSM na Pope Paul VI