Je, kuna uwezekano wa Papa kuchagua Askofu mwingine Tanzania baada ya Thaddeus Ruwa'ichi kuugua?

Hujathibitisha Mungu yupo.
Mkuu ukikaa na kusema Mungu hayupo kutakuwa na shida, na mwenzako Akasema yupo? Mana kwanza lazima mkubaliane kuwa na uelewa mmoja. Wewe unazungumzia kutokuwepo kwa „mungu-Mungu“ wa Aina gani na yeye anazungumzia kuwepo kwa „ Mungu -mungu“ Wa aina gani.
 
Mkuu kuna mlei hapo juu amesema cardinal wote waliopata hilo daraja walikuwa dar

Ila hapo inaonaonekana Rugambwa kawa cardinali akiwa bukoba au umechanganya miaka
Siyo lazima atoke jimbo Kuu la Dar es Salaam. Angalia hata historia ya Cardinal Laurean Rugambwa.
1943 -Upadirisho
1952 - Vicar General
1953- 1960 Askofu Jimbo la Rutabo
1960- 1968 Askofu Mkuu/ Cardinal wa Jimbo Kuu la Bukoba
1968- 1992 Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam
Kwa hiyo siyo lazima Cardinal atoke Dar es Salaam
 
Kwa hiyo wewe unataka uthibitisho bila fikra wakati unachohoji ni kwa mujibu wa fikra.Je twawezaji jadili hoja bila kufikiri vizuri,wataka uthibitisho utokao nje ya fikra?je kuna chochote kithibitikacho nje ya fikra?"Does anything exist outside the thought system?"
Kufikiri mtu anaweza kufikiri chochote. Unaelewa hilo?
 
Majukumu ya askofu mkuu ni yepi? Kwa mfano, Isaac Aman Askofu mkuu anasimamia jimbo kuu Arusha, na majimbo ya Mbulu, Moshi na Same yako chini yake, je ana mamlaka na majimbo hayo mengine.
 
Mkuu ukikaa na kusema Mungu hayupo kutakuwa na shida, na mwenzako Akasema yupo? Mana kwanza lazima mkubaliane kuwa na uelewa mmoja. Wewe unazungumzia kutokuwepo kwa „mungu-Mungu“ wa Aina gani na yeye anazungumzia kuwepo kwa „ Mungu -mungu“ Wa aina gani.
Huu ni uzi wa habari za Wakatoliki kimsingi. Zimewekwa wazi kwa wote.

Kwanza sikuwa na nia ya kuchangia, natambua mambo ya dini yalivyo na faragha yake.

Lakini.

Kuna mtu kasema kanisa la Katoliki ndilo kanisa pekee la Mungu wa kweli.

Mimi nikamjibu na kumwambia athibitishe huyo Mungu yupo kwanza.

Tunamuongelea Mungu wa Biblia, wa Wakatoliki, anayesemwa kuwa mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Unaweza kuthibitisha yupo?

Mimi sina tatizo na mtu kuamini Mungu anayemtaka. Amini ng'ombe ni Mungu, amini paka ni Mungu, kivyako.

Mimi ni libertarian, napigania haki ya kila mmoja kuamini anavyotaka, au kutoamini anavyotaka.

Lakini ukianza kuja hapa na kuandika kanisa Katoliki ndilo kanisa pekee la Mungu wa kweli, ni lazima niwashike shati.

That is a statement of fact, not a statement of belief.

Mnaweza kuthibitisha huyo Mungu mnayesema wa kweli yupo kweli na si hadithi za watu tu?
 
Tumwombee apone upesi mkuu

Hata hivyo kuna mdau hapo juu kasema Nairobi na Dar lazima zitoe cardinal
Sijui Pope anatumia vigezo gani katika hili
Ni kweli, tuombe apone arejee kazini.

Kimsingi hakuna "ulazima wa Nairobi na DSM" kutoa Kadinal sababu anayejua sababu za kuchagua Cadinal ni Baba Mtakatifu.

Hata hivyo,kuna dhana zinasema kuwa kuna baadhi ya Majiji au Mikoa lazima itoe Cardinal lakini dhana hii haijawai kudhibitishwa mahali popote duniani.
 
Thibitisha Mungu yupo kwanza.
Mkuu wangu.

Nimesoma sana maandiko yako unaonekana uko deep sana kwenye imani yako ya kutoamini Mungu.

Kwakua maswali ya Imani hayana mjadala ni vyema ujikite katika kushika ulichonacho kuliko kuzunguka zunguka kutaka kuanzisha mijadala ambayo haina mantiki.

Nakutakia utekelezaji mwema wa ushauri wangu!
 
Sijaanzisha mjadala na wala huwezi kunikuta nimeanzisha mjadala.

Kuna mtu katoa statement of fact kwamba kanisa la Katoliki ndilo kanisa pekee la Mungu wa kweli.

Huyo ndiye kaanzisha mjadala na mimi, nikamuuliza, anaweza kuthibitisha Mungu huyo yupo.

Mpaka sasa hakuna aliyethibitisha Mungu yupo.
 
Huu ni uzi wa habari za Wakatoliki kimsingi. Zimewekwa wazi kwa wote.

Kwanza sikuwa na nia ya kuchangia, natambua mambo ya dini yalivyo na faragha yake.

Lakini.

Kuna mtu kasema kanisa la Katoliki ndilo kanisa pekee la Mungu wa kweli.

Mimi nikamjibu na kumwambia athibitishe huyo Mungu yupo kwanza.

Tunamuongelea Mungu wa Biblia, wa Wakatoliki, anayesemwa kuwa mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Unaweza kuthibitisha yupo?

Mimi sina tatizo na mtu kuamini Mungu anayemtaka. Amini ng'ombe ni Mungu, amini paka ni Mungu, kivyako.

Mimi ni libertarian, napigania haki ya kila mmoja kuamini anavyotaka, au kutoamini anavyotaka.

Lakini ukianza kuja hapa na kuandika kanisa Katoliki ndilo kanisa pekee la Mungu wa kweli, ni lazima niwashike shati.

That is a statement of fact, not a statement of belief.

Mnaweza kuthibitisha huyo Mungu mnayesema wa kweli yupo kweli na si hadithi za watu tu?
Mkuu

Tunakua wakristu kwa Neema tuu, na wewe ipo siku utaamini katika Kristu Yesu kwa Neema.

Haiwezekani kila siku upinge uwepo wa Mungu, HUCHOKI kwani

Yaani wewe kuuutwa KUPINGA TUU.

Eeh, Kalagabho mzee wangu
 
Sijaanzisha mjadala na wala huwezi kunikuta nimeanzisha mjadala.

Kuna mtu katoa statement of fact kwamba kanisa la Katoliki ndilo kanisa pekee la Mungu wa kweli.

Huyo ndiye kaanzisha mjadala na mimi, nikamuuliza, anaweza kuthibitisha Mungu huyo yupo.

Mpaka sasa hakuna aliyethibitisha Mungu yupo.
Mzee wangu.

Mtafutaji hachoki, wewe endelea kutafuta uwepo wa Mungu. Mimi nakuombea NEEMA ili upate kukutana na Uso wa Mungu.
 
Mkuu huoni kama atafanya kazi kwa shida sana kutokana na huo upasuaji?
Unaonaje akistaafu kwa hiari abaki kama Baba Askofu mstaafu
Kwanini umeng'ang'ania sana ajiuzulu au astaafu? Una masilahi yapi askofu akijiuzulu au akistaafu?
 
Mkuu kuna mlei hapo juu amesema cardinal wote waliopata hilo daraja walikuwa dar

Ila hapo inaonaonekana Rugambwa kawa cardinali akiwa bukoba au umechanganya miaka
Mimi ndiyo niko sahihi. Cardinal Laurean Rugambwa alichaguliwa kuwa Cardinal wa kwanza Mwafrika kutoka Africa akiwa ni Askofu wa Jimbo kuu la Bukoba.
Na alihudumu kama Cardinal kutokea Bukoba hadi 1968 alipohamishiwa DSM na Pope Paul VI
 
Mkuu huoni kama atafanya kazi kwa shida sana kutokana na huo upasuaji?
Unaonaje akistaafu kwa hiari abaki kama Baba Askofu mstaafu
Mbona tunakuwa na pupa, papara, harakaharaka! Twende kwa hatua.

1. Apone
2. Arejee kazini
3. Atathimini

Kisha tutapata taarifa, sasa tukianza "kuongeaongea" badala ya sala na maombi kwake tutakua tunakosea.

Sala kwanza.
 
Wenye ufahamu wanijulishe huyu Cardinal mpya aliyemrithi Pengo amefanyiwa upasuaji mkubwa sana na itamchukua muda sana kurudi kwenye hali yake kwanini Papa Francis asiteue mwakilishi mwingine kwa kuwa hizi ni kazi za kutumikia watu. Au Pengo arudishwe kwenye hiyo nafasi hadi apatikane mtu mwingine.

Na kumbukumbu zangu zinaniambia kuna Papa aliwahi kuondoka kwenye kiti chake kutokana na Afya haikuwa vizuri

Nimtakie Afya njema apone haraka Mwadhama Ruwa'ichi
Mkuu acha nataka zako kupasuliwa sio kushindwa ,Mungu attends Miujiza take Baba Askofu atapona haraka na kuendelea na Majukumu yake.Mungu mpe uponyaji Askofu wetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom