Je, kuna uwezekano wa Papa kuchagua Askofu mwingine Tanzania baada ya Thaddeus Ruwa'ichi kuugua?

yitzhak

yitzhak

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2019
Messages
510
Points
1,000
yitzhak

yitzhak

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2019
510 1,000
Wenye ufahamu wanijulishe huyu Cardinal mpya aliyemrithi Pengo amefanyiwa upasuaji mkubwa sana na itamchukua muda sana kurudi kwenye hali yake kwanini Papa Francis asiteue mwakilishi mwingine kwa kuwa hizi ni kazi za kutumikia watu. Au Pengo arudishwe kwenye hiyo nafasi hadi apatikane mtu mwingine.

Na kumbukumbu zangu zinaniambia kuna Papa aliwahi kuondoka kwenye kiti chake kutokana na Afya haikuwa vizuri

Nimtakie Afya njema apone haraka Mwadhama Ruwa'ichi
 
yitzhak

yitzhak

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2019
Messages
510
Points
1,000
yitzhak

yitzhak

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2019
510 1,000
Ahsante kwa kuweka kumbukumbu sawa
Mimi ndiyo niko sahihi. Cardinal Laurean Rugambwa alichaguliwa kuwa Cardinal wa kwanza Mwafrika kutoka Africa akiwa ni Askofu wa Jimbo kuu la Bukoba.
Na alihudumu kama Cardinal kutokea Bukoba hadi 1968 alipohamishiwa DSM na Pope Paul VI
 
jaji mfawidhi

jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Messages
5,558
Points
2,000
jaji mfawidhi

jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2016
5,558 2,000
Wenye ufahamu wanijulishe huyu Cardinal mpya aliyemrithi Pengo amefanyiwa upasuaji mkubwa sana na itamchukua muda sana kurudi kwenye hali yake kwanini Papa Francis asiteue mwakilishi mwingine kwa kuwa hizi ni kazi za kutumikia watu. Au Pengo arudishwe kwenye hiyo nafasi hadi apatikane mtu mwingine.

Na kumbukumbu zangu zinaniambia kuna Papa aliwahi kuondoka kwenye kiti chake kutokana na Afya haikuwa vizuri

Nimtakie Afya njema apone haraka Mwadhama Ruwa'ichi
MABEBERU ndio wanatuchagulia viongozi?
Mbona mkulu kila siku anatuaminisha mabeberu ndio wametuletea umaskini na hawatupendi alafu na yeye anachaguliwa mtu wa kumwongoza na anamtumikia?

Shikamoo mabeberu,

shikamoo wazungu;
shikamoo beberu
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
46,305
Points
2,000
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
46,305 2,000
Mzee wangu.

Mtafutaji hachoki, wewe endelea kutafuta uwepo wa Mungu. Mimi nakuombea NEEMA ili upate kukutana na Uso wa Mungu.
Kwanza kabisa asante kwa kuniona namtafuta Mungu (as opposed to "Godless atheist/ kafir).

Ukweli ni kwamba, siku nikipata uhakika kwamba Mungu yupo kweli, na kuelewa kwa nini mambo yapo hivi yalivyo, nitafurahi sana.

Lakini mpaka sasa sijaona kielelezo cha kueleweka kuhusu hilo.

Ukiacha kuniombea na kuthibitisha kwamba Mungu yupo itapendeza zaidi.
 
Gidbang

Gidbang

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2014
Messages
2,204
Points
2,000
Gidbang

Gidbang

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2014
2,204 2,000
Kwani umeambiwa upasuaji aliofanyiwa huyo mrithi wa Pengo utamfanya akae benchi mda mrefu kiasi hicho? Na je wale wasaidizi wake 2? Au ndio unataka achomolewe fasta namna hiyo? Usimfanyie hivyo
Kumne umemmwelewa asante inaonekana kuna kafuraha ikitokea ameshindwa kutekeleza majukumu yake kwani kunani jamani tuwe na akiba ya maneno
 
dtj

dtj

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2014
Messages
966
Points
1,000
dtj

dtj

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2014
966 1,000
Kwanza kabisa asante kwa kuniona namtafuta Mungu (as opposed to "Godless atheist/ kafir).

Ukweli ni kwamba, siku nikipata uhakika kwamba Mungu yupo kweli, na kuelewa kwa nini mambo yapo hivi yalivyo, nitafurahi sana.

Lakini mpaka sasa sijaona kielelezo cha kueleweka kuhusu hilo.

Ukiacha kuniombea na kuthibitisha kwamba Mungu yupo itapendeza zaidi.
Neema yake inatosha.
 
ubongokid

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Messages
1,764
Points
2,000
ubongokid

ubongokid

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2017
1,764 2,000
Kufikiri mtu anaweza kufikiri chochote. Unaelewa hilo?
Vyema,na kufikiri kwamba Mungu yupo sio tatizo au una tatizo iwapo mtu anafikiri hivyo?Mpumbavu hufikiri moyoni kwake kwamba hakuna Mungu(Zab 53:1 na kuendelea)kasome na uwe na amani moyoni mwako
 
Bramo

Bramo

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Messages
10,686
Points
2,000
Bramo

Bramo

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2009
10,686 2,000
Wenye ufahamu wanijulishe huyu Cardinal mpya aliyemrithi Pengo amefanyiwa upasuaji mkubwa sana na itamchukua muda sana kurudi kwenye hali yake kwanini Papa Francis asiteue mwakilishi mwingine kwa kuwa hizi ni kazi za kutumikia watu. Au Pengo arudishwe kwenye hiyo nafasi hadi apatikane mtu mwingine.

Na kumbukumbu zangu zinaniambia kuna Papa aliwahi kuondoka kwenye kiti chake kutokana na Afya haikuwa vizuri

Nimtakie Afya njema apone haraka Mwadhama Ruwa'ichi
Anaitwa Askofu Yuda Thaddeus Rwai'ichi na wala sio Cardinal
Kwa kutokulijua hili tu wala hustahiki kuendelea kujibiwa
 
Y

Yodoki II

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Messages
4,587
Points
2,000
Y

Yodoki II

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2014
4,587 2,000
Watanzania wengi tulijua Pengo ndio mkuu wa Kanisa Katholiki kabla ya kupumzika
Mkuu wa Kanisa la Tanzania kiitifaki ni Rais wa TEC. Ila je Rais akiwa Askofu wa jumbo la kawaida na siyo Jimbo kuu, protocol inakuwaje?
 
K

kabombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Messages
21,614
Points
2,000
K

kabombe

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2011
21,614 2,000
Inaonekana Mungu alikua na mipango mingine wanadamu,tunapenda kulazimisha mambo tu
Pole sana Muhashamu
 
K

kabombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Messages
21,614
Points
2,000
K

kabombe

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2011
21,614 2,000
Mkuu wa Kanisa la Tanzania kiitifaki ni Rais wa TEC. Ila je Rais akiwa Askofu wa jumbo la kawaida na siyo Jimbo kuu, protocol inakuwaje?
Inasikitisha sana kuona mkatoliki hajui mfumo wa uongozi wa kanisa lake
 
Forum statistics

Threads 1,336,594
Members 512,670
Posts 32,544,694
Top