Je ni nani atakuwa Kardinali Mpya nchini Tanzania?

Domaradzka

Senior Member
Apr 19, 2016
135
168
Mwezi juni mwaka huu Baba mtakatifu Francis anategemewa kutangaza makardinali wapya na kuna tetesi kuwa anaweza kuongeza idadi ya makardinali wanaochagua papa kutoka idadi ya ukomo 120 na pia macho ya watu yameelekezwa kwa aliyeteuliwa kuwa askofu mkuu wa Washington, Wilton D Gregory kama atakuwa Kardinali maana jimbo halipaswi kuwa na Two voting cardinals maana cardinal Wuerl hajafikisha miaka 80.

Je hapa kwetu nani Kardinali ajaye ?

Baada ya kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Benedicto XVI kutangaza kuwa atajiuzulu kutokana na umri wake mkubwa na kukosa nguvu za kuendelea kuongoza kanisa hilo, mjadala ulikuwa ni nani atakayemrithi?

Wachambuzi wa mambo ya kanisa walitabiri kuhusu Papa ajaye kulingana na jinsi walivyoona. Hivyo si dhambi na sisi tukajiuliza ni nani Kardinali ajaye baada ya Kardinali Polycarp Pengo?

Wapo wanaosema Kardinali ajaye atakuwa Askofu mkuu Jude Thaddeus Ruwa'ichi ndiyo maana ameletwa jimbo kuu la Dar es salaam.

Je atatoka tena jimbo kuu la Dar es salaam ? Je katika majimbo makuu kuna jimbo lenye heshima kuliko jimbo jingine kuenzi ile msemo wa "primus inter pares" i.e First among equals ?

Je kwanini askofu mkuu ahamishwe kutoka jimbo kuu moja kwenda jimbo kuu jingine? Kwa nini askofu mwingine asingeteuliwa kuwa askofu mkuu wa Dar es salaam mpaka askofu mkuu ahamishwe?. Nini maana yake? Siyo hapa tu bali hata kwingineko.

Askofu mkuu Gabriel charles Palmer- Buckle alihamishwa kutoka Jimbo kuu la Accra Ghana kwenda jimbo kuu la Cape coast linaloheshimika nchini humo na ambalo Kardinali Peter Kwodo Turkson alihudumu.

Askofu mkuu Wilton D. Gregory amehamishwa kutoka Jimbo kuu la Atlanta kuwa askofu mkuu wa jimbo la Washington mwezi uliopita baada ya kujiuzulu kwa Kardinali Donard Wuerl

Askofu mkuu Fridolin Ambongo Besungu OFM cap alihamishwa kutoka jimbo kuu la Mbandaka - Bikoro kuwa askofu mkuu wa jimbo kuu la Kinshasa baada ya kustaafu kwa Mwadhama Laurent Kardinali Mosengwo Pasinya

Je haya ni majimbo muhimu ya kanisa? Umuhimu wake ni nini?Kwa nini mara nyingi yapewe heshima ya kupata kardinali?
Jimbo kuu la Dar es salaam limebahatika kupata maaskofu wakfu ambao ni makardinali wawili kama ilivyo jimbo kuu la Nairobi ukimtoa askofu Rafael Ndingi Mwana a'Nzeki ambaye hakuwa kardinali kwani Kardinali Otunga alikuwa bado hajafikisha umri wa miaka 80 kutokuhudhulia conclave na jimbo halipaswi kuwa na Two voting cardinals. Je hii trend itaendelea?

Wewe unafikiri nani Kardinali ajaye?

ASKOFU mkuu Buckle wa Accra alisema cardinalate city Africa ni mbili tu yaani Dar es salaam na Nairobi. Video nimeshindwa kuidownload.
 
Attachment : ASKOFU mkuu Buckle wa Accra alisema cardinalate city Africa ni mbili tu. Ni zipi hizo?
View attachment 1088987View attachment 1088987View attachment 1088987
kama makaridinali na kama Pengo, afadhali ya shetani!
 
Back
Top Bottom