Je, Kuna umuhimu wa kutoa mahari?

Msiba ni ishu sana mkuu tena mpendwa wako mbona utatamani uingie kaburini wewe? ila naona wazaz wanaojitambua sio fresh kususia msiba wa mwanao haisaidi chochote zaid ya kuiabisha maiti na kumumiza mme tuu, wazaz wenye kaliba hii ni hatar mno
Mkuu km haujalipa mahari nenda ukalipe hata nusu.
Haya mambo yasikie tu
 
Back
Top Bottom