username1
JF-Expert Member
- Jan 14, 2016
- 267
- 253
Wadau,
Tusaidiane hii issue ya kumlipia mahali mwanamke ni sawa au ndio biashara ya kuuza watu.
=========
Tusaidiane hii issue ya kumlipia mahali mwanamke ni sawa au ndio biashara ya kuuza watu.
=========
Mahari kama inavyojulikana na jamii nyingi za kiafrika kwa ujumla ni ishara ya asante kwa wazazi wa mwanamke kwa kumlea binti na hatimaye unamuoa na kumchukua kwenda kwako/kuishi nae kama mke na mume!
Sasa mimi sioni sababu ya kufanya hivi kwa sababu hakuna wife material! wote niliokutana nao wameharibika yani hawafai kabisa, sio mbele sio nyuma hakuna kwenye afadhali, kwote kunakodoa tuu sasa kuna maana gani ya kutoa shukrani kwa wazazi?
Nimekutana na mikasa kadhaa hadi nkafikia katika hii hali na kuwaambia nyinyi ndugu zangu wanaMMU.
Sio mpango wala nini