Je, kuna umuhimu mume/mwanaume kumuachia mwanamke usukani wa gari? safari zote mwanamke afanye?

Kuna mwanamama mmoja nilimsikia akimlalamikia mwenzie eti kuna mtu amesema eti yeye gari anaendesha yna hakuna siku mumewe ameendesha wala kuonekana ndani ya hilo gari.
Na mimi nikavuta kumbukumbu kama nimewahi kumwona yule baba ndani ya gari lakini kama nimemwona ni mara chache sana.
Sijui ndio nimetoka nje ya mada
 

Hujakosea..upo sahihi Mkuu

Na hapo kumbuka mwanaume unakuwa huna gari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…