Hii ni OCD mkuu, Kila mtu ana changamoto yake ya Afya ya akili ni vile hajakutana na triggering factor, mfano wa triggering factor ni genetic kama kwenye familia Kuna mtu ana shida ya Afya ya akili tunakua more likely na Sisi kulipuka, kingine ni environmental factors mfano madawa ya kulevya, pombe e t c
Mimi la kwangu ni phobia (uoga) wa kusimama kwenye majengo marefu, ukitaka nife Kwa pressure nipeleke jengo hata la ghorofa 5 tu nitateseka sana siwezi kuangalia chini
So mkuu usijali hiyo Hali Yako Kila mmoja ana yake kikubwa jiepushe na vitu vitakavyokufanya uka run mental health problems
Kuhusu ufanyeje Hali iondoke jibu ni sio rahisi kuiondoa, jitahidi kuishi nayo kikubwa usikere wengine basi