Je, kuna ubaya Tanzania ikavikwapua na kuvifanya visiwa vya Comoro sehemu ya Tanzania?

Ndoto nzuri. Lakini kama tumeshindwa kutatua "kero za muungano" na visiwani kwa miaka yoooote, tukijiongezea visiwa vingine si ndio tutakuwa tumejiweka vibaya kabisa?
Mbona huu uhusiano uko vizuri sana, chuo nilisoma na wazenji wasipongua 10 katika darasa moja, na wote walisomeshwa na bodi ya mikopo kwa 100%, huu muungano uko vizuri sana..
 
Sioni manufaa yoyote zaidi ya kutaka national prestige. Ukiangalia ardhi yenye rutba, water bodies, coastline, madini, historia na vyanzo vya utalii na bado tu maskini si kwa GDP wala HDI.

Ningependa hizo nguvu tungewekeza katika rasilimali watu ili tuwe na productive population na kama tutahitaji faida za kiuchumi, inaweza kutumika economic diplomacy.
 
Ushirikiano na wetu nje ya mipaka yetu ndio lengo kuu, kwa utaratibu kama wa visiwa vya Zenji
 
Back
Top Bottom