Je, kuna ubaya Tanzania ikavikwapua na kuvifanya visiwa vya Comoro sehemu ya Tanzania?

Mkuu hii kitu niliwaza siku nyingi sana hivi visiwa ni sehemu ya Tanzania kabisa. Nakumbuka enzi hizo tunaenda Mtwara na MV Mapinduzi likipigwa kidogo tu mawimbi tunajikuta tuko Comoros.
Yeah, na kile kiswahili chao cha Kingazija kimenyooka mno, sio kama zile broken za Kenya, vile visiwa ni vyetu kabisa, sijui tulikwama wapi..
 
Najua wajua kinachoendelea zenji. Kuhusu ushirikiano unaweza kufanyika pasipo hata kuunganisha nchi.
Ni muhimu kuungana, umoja ni nguvu, interaction ya kiuchumi, kijamii na kisiasa ina interflow freely zaidi pale mnapoungana na mutual benefits zinafurahiwa kwa uhuru zaidi..
 
Kwani ukiwa maalum unaleta tofauti gani? Anyway hata kama tulitumwa na nani, Tz sio Comoro, nadhani ifahamike hivyo.., na awamu ya 5 sio ya 4 ile ya kuchekacheka
Utawajuwa tu waliokutuma. Nenda kajaribu "kuvikwapua" ndiyo utawajua zaidi.
 
Back
Top Bottom