Wanakumbi.
Tukiipitia barua mara mbili mbili tunaendelea kushangazwa sana inakuwaje balozi wa nchi mwenye jukumu la kutumikia taifa huko nje cuba, anaandika kujiuzulu kwake si kwenye majukumu aliopewa bali kwa tuhuma zinazo wasilishwa na wapinzani , kisha humo humo analalamika maswala ya CCM tena ya uteuzi na ukataj majina ambao umekuwa unazungumzwa na wapinzani na wanaharkati wakitaja majina ya watu walio katwa ndani ya CCM
Wakati huo huo na ndio ukweli CCM iko kwenye mchakato wa kupitia watia nia wooote kwenye ngazi tofauti tofauti wakisubiri halmashauri kuu ya taifa kupitia mapendekezo na kurudisha majina kwa ajili ya kura za maoni
sasa unachangaza sana balozi mzima , lakini aliekuwa katibu wa uenezi wa ccm nae hajui au amesahau utaratibu wa CCM, na anatoka na barua inatangulia vikao vya chama vya maamuzi
Hii barua itakuwa imeandikwa na wanaharakati na mambo yao sio ya level ya mtu balozi
*na ikiwa kaandika ukweli , basi hata huo ubalozi hamna mtu hapa , unfit