nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 1,940
- 1,254
Kwa CCM hakuna kima atanyanyua ht pua, CCM ni zaidi ya uijuavyo.Je hawa watakaa kimya na kufunika kombe mwanaharamu apite?
February
Mpini
Katelefoni
Pasta Gwa
Na maamuzi ya leo ya halfrey
Unaweza kuongeza na wengine.. Lakini inawezekana kabisa October mbaliView attachment 3404325
Sawa😅Mpotezee kama tulivyompotezea
Yuko sahv huyo tapeli wa kisukuma?Kutoka kwa Gwajima, was a sign, ule ujasiri lazima una backup, hii meli inaanguka, unawezaje mtendea vile Lisu jamani?
Nashauri arudi nchini tupiganie NRNEHalafu akiwa Havana HQ inasemekana
Yuko sahv huyo tapeli wa kisukuma?
Za chini kabisa ati anko katelefoni kanyimwa fomu ya kuongeza mkataba - kaambiwa hayumo kwenye mfumo kwa kocha.Je hawa watakaa kimya na kufunika kombe mwanaharamu apite?
February
Mpini
Katelefoni
Pasta Gwa
Na maamuzi ya leo ya halfrey
Unaweza kuongeza na wengine.. Lakini inawezekana kabisa October mbaliView attachment 3404325
Originally zilikuwa za chinichini Ila sasa ziko upenuni.. Hakuna siri ya wawiliZa chini kabisa ati anko katelefoni kanyimwa fomu ya kuongeza mkataba - kaambiwa hayumo kwenye mfumo kwa kocha.
Yes kuna kaharufu ila wafanye kwa ustadi lah sivyo watajikuta wote ndani shimo la tewa.
Hawa wote ni wasaka Tonge tu. Wamepishana tu kwenye maslahi haoNafikiri kumgusa Makamu wa Rais, Waziri mkuu, Mpina, Gwajima, Kanisa Katoliki, Kinana, wimbi la kukata kihuni baadhi ya wabunge ..... nina hofu.... 2015 walipambana na Lowasa .... time hii watapambanq na mfumo ndani ya mfumo ..... sioni dalili njema kwenye vita inayonukia ...... Tuliombee Taifa
Mzee Mshana naona mmeamua kusitisha kwanza harakati zenu za NRNE ili mpate muda wa kufuatilia mambo ya chama mnachokipenda CCM. Safi sana. Huu ni uzalendo. Hakika kila mtanzania ni mwanaCCM.Je hawa watakaa kimya na kufunika kombe mwanaharamu apite?
February
Mpini
Katelefoni
Pasta Gwa
Na maamuzi ya leo ya halfrey
Unaweza kuongeza na wengine.. Lakini inawezekana kabisa October mbaliView attachment 3404325
CCM wanawatengenezea kinyago kingine, huyo dogo ni mpango aje, atue chama flan cha upinzani.
Wabongo wasahaulifu sana.
Odo ni ile audio tu ilomwondoa kwenye W ndo hio hio na amemponza na ZumbeLukuvi was seen it coming.. Ummy ishu ya Tiva?
mambo yanazidi kuchanganyaKutoka kwa Gwajima, was a sign, ule ujasiri lazima una backup, hii meli inaanguka, unawezaje mtendea vile Lisu jamani?
AmenLolote baya liwakute hawa mboga mboga
Anamwagilia moyo kwa bapaUmmy kuna ''za chini chini'' kuwa alikuwa anamsema ''mama'' vibaya. Kuwa hastahili kuwa hapo alipo, hana uwezo na ni mlevi.