Mambo ya ulinzi wa viongozi wengi wetu hatujui,ila tunajaribu tu kueleza... Suala la ulinzi hasa wa Rais linakusanya vyombo vingi vya usalama wa dola,na sio tiss pekee,pia kuna scanning and detection equipment hua zinafunvwa sehemu maalum,hata ikitokea Rais msafara wake umesimamishwa hua ni planned na sio tu wanasimama kama tunavyozani!