Aliyefanikiwa kutumia Dawa za kuongeza Uume, nahitaji msaada

Aliyefanikiwa kutumia Dawa za kuongeza Uume, nahitaji msaada

20260227_160558.jpg
 
Kuna zile za kichina mtulinga haudumu katika ukubwa, baada ya masaa 24 unarudi kama kama kawaida.

Ukinywa ndani ya saa moja dude linavimba na kuwa kubwa
 
Ukijiona umefikia hiyo stage bc ujijue ww huna tofauti na mwanamke
 
Tafuta pin ile ya kubania nguo, chukua pin toboa katikati ya hio mashine mpaka itokee upande wa pili kisha bana subiri nusu saa mpaka saa limoja, chomoa pin muda huo utakua unavuja damu chukua spirit au iodine jipakae anza kuuguza kidonda hadi kipone utakua na bonge la ndoga, anza kutembeza rungu komred kipepe
 
Aliyewahi tumia dawa za kuongeza uume na kufanikiwa nahitaji anipe recommendation.
Kama hutaki kucomment unaweza kuja PM

Kama hujawahi tumia tafadhali achana na hii thread 🤣🤣

Ushauri wa kipuuzi sihitaji.

Side effects nazijua kwahyo sitaki comment zakijinga
We dini gani? Sorry
 
Dawa ni moja tu, chukua nyuki wawili au watate waweke kwenye mashine, wakikungata hapo dakika chache tu mashine inakuwa kubwa kama unavyotaka
 
Uume ni msuli na ukitaka uongezeke size basi unahitaji mazoezi kama misuli mingine ya mwili,hakuna dawa. Tafuta penis pump kwa ajili ya mazoezi ya mashine,tumia mara tatu kwa wiki utanishukuru.
 
Kuna zile za kichina mtulinga haudumu katika ukubwa, baada ya masaa 24 unarudi kama kama kawaida. Ukinywa ndani ya saa moja dude linavimba na kuwa kubwa
Kama ni hivyo awe anatafuta chavi chavi, anaweka kwenye dudu, litavimba tu
 
Aliyewahi tumia dawa za kuongeza uume na kufanikiwa nahitaji anipe recommendation.
Kama hutaki kucomment unaweza kuja PM

Kama hujawahi tumia tafadhali achana na hii thread 🤣🤣

Ushauri wa kipuuzi sihitaji.

Side effects nazijua kwahyo sitaki comment zakijinga
Ilitoka inchi 6 hadi 9 ipo vizuri, imenyooka...wadada wanakimbilia Kila siku niwape dozi...!

Karibu kwenye Chama Letu la Mihogo mikubwa

Naam
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom