Je kuna mwanamke asiye na bwana nje ya ndoa

Je kuna mwanamke asiye na bwana nje ya ndoa

Sidhani...lazima kuwe na backup plan, stress za wanaume si mnazijua? bila kuwa na mchepuko unaweza jikuta unapata kiharusi bure!
 
Ukijiona una hamu zilizopitiliza ya nini kuolewa? We tembeza weee kwa raha zako hadi itakapochokwa unakuwa umemaliza mission yako duniani hapa kaa subiri kufa. Haina hata haja ya kusingiziana watoto.. Wanaojiheshimu wapo, so kama we malaya lazima uione impossibility hapo usichafue na wengine.
 
Kwani ni lazma? mi mbona sina hawara wala kibuzi maringo?

Kama si lazima , mie naona basi ndoa zote zingekuwa na utulivu....ila fatilia utagundua hata mawasiliano au mazungumzo ya KE & ME (simaanishi ndugu wa damu, ila naamanisha kazi za nje) kwa kiasi kikubwa yanahusu kutafuta fursa ya kupunguza uzito.
 
Back
Top Bottom