Je kuna mwanamke asiye na bwana nje ya ndoa

Je kuna mwanamke asiye na bwana nje ya ndoa

Ukishajua isaidie nini sasa,anyway mie naamini wapo tena wengi kama walivyo wengi wa upande wa pili
 
Mada hii imeikumbusha mzee flani alikua chapombe kweli kweli kiasi kwamba akasema haamini kama kuna mwanaume asiyekunywa pombe, kisa yeye ni mlevi na muda wote huwa amelewa.
 
Back
Top Bottom