Hakuna.....
Katika 100 wapo 4 ambao hawana...........mitongozo yote hii......utachomokea wapi kwa mfano.........?
Labda ndoa za vijijini ila Kwa mjini tena mkeo akawa mtu wa mishemishe mfano ana saruni mfanyakazi au mfanya biashara looh lazima michepuko ipo tu. Na lazima ugongewe tu.
jaman naombeni ushauri kuhusu wanawake kuna mwanamke asiye na hawala nje ?
jaman naombeni ushauri kuhusu wanawake kuna mwanamke asiye na hawala nje ?
Katika 100 wapo 4 ambao hawana...........mitongozo yote hii......utachomokea wapi kwa mfano.........?
jaman maada zingne hizi mziache tu... Mbona mnatuweka roho juu tuliooa?
Wala zisikutishe kama unaishi vizuri na mkeo!
1. kama wewe ni muaminifu hujawahi kukamatwa kwa kucheat
Pili unamheshimu na kumjali mkeo,
Tatu unahudumia mahitaji yote ya msingi nyumbani kwako. Fedha ni muhimu pia
4 Unamshughulikia sawasawa kwenye 6*6! Humbaki au kumchubua mkeo!
5. Mcha Mungu, mpole, si mlevi kupindukia, si mkorofi na mbabe!
Kama unaweza kutimiza hayo basi we kuwa na amani!

nikweli lakn utambue wanawake ni viumbe wasioridhika....
Utamtimizia yote lakn atatafuta sababu nyingne tu
jaman naombeni ushauri kuhusu wanawake kuna mwanamke asiye na hawala nje ?
Kuna wanaume wanapewa kila kitu, hali kadhalika kuna wanawake wanapata kila kitu lakini hawaridhiki...!
Cheating ni hulka ya mtu, wapo wasiopata hivyo ulivyotaja lakini ni waaminifu kwenye ndoa na mahusiano yao.