Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,944
- 43,607
Mada hii imeikumbusha mzee flani alikua chapombe kweli kweli kiasi kwamba akasema haamini kama kuna mwanaume asiyekunywa pombe, kisa yeye ni mlevi na muda wote huwa amelewa.
aiseee
Mada hii imeikumbusha mzee flani alikua chapombe kweli kweli kiasi kwamba akasema haamini kama kuna mwanaume asiyekunywa pombe, kisa yeye ni mlevi na muda wote huwa amelewa.
Labda ndoa za vijijini ila Kwa mjini tena mkeo akawa mtu wa mishemishe mfano ana saruni mfanyakazi au mfanya biashara looh lazima michepuko ipo tu. Na lazima ugongewe tu.
Vijijini tena?
wapo ambao hawana mchepuko
Kijijini uta mgegeda sehemu gani mke wa mtu kwenye migomba,au vichakani.ila mjini aha nikusema tu tukutane tupendane lodge bas mchezo kwisha.
jaman naombeni ushauri kuhusu wanawake kuna mwanamke asiye na hawala nje ?
mimi mmoja wapo na mungu anilinde nitunze ahadi yangu
mwanamke ukijiheshimu tu uyaheshimika
sio km sitongozwi ila nalinda stara yangu na wazazi wangu
Hahahaaaa.....short and clearHakuna.....
unauhakika kuwa unawachomolea wote wanao kutongoza?
Ngoja tuanze na mm. Ukinikataa kweli mm nahama nchi hii.