Je, kuna mbinu mpya ya kuchepuka?

Je, kuna mbinu mpya ya kuchepuka?

Kua na msela wako ambae zinaiva sana kazini, tumia simu yake kuwasiliana na mchepuko wako na yy anatumia cmu yako kuwasiliana na mchepuko wake!

Sema mdinyano wa kiuwizi mtamu sana
Mbinu za kizamani mchepuko hautakiwi kuuhalalisha kwenye suala la mawasiliano et apige muda anaotaka yeye?

Au Apokee muda anaotaka yeye?

Sent from my SO-01L using JamiiForums mobile app
 
Hello .

Kucheat kwa mwanaume ni kitu cha kawaida .

Karibu Tupeane mbinu mpya za michepuko.

1..Kuna umuhimu wa kuwa na WhatsApp mbili.

2.Kuna App ya Calculator ya muhimu Sana kuwa nayo unaweza kuhide application kama WhatsApp moja.

3.Usimzoeeshe mchepuko Ku chart au kukutafuta wakati anapokuhitaji wewe ndo uanze kumtafuta.

4.Mke wako mjali na endelea kumpa mahitaji ya muhimu.

5.Fanya yote mke asijue unachepuka.

6.Mwanzo tumia condom,ukipima dry inahusika

Je kuna mbinu Mpya ya kuchepuka
You need Jesus
 
NAONGEZEAA.

1.Unaweza ukawa na watsap moja ambapo ukimaliza kuchat na mchepuko unamblock,delete chat mpka utakapo tafuta yeye.

2.GBwatsap unahide chat na passcode, kwenye secret vault.

3.Facebook messenger nayo ni kiboko.Mnachat,kutumiana picha,video calls na picha za uchi,Unahide kwa passcode basi kamwe hawezi ona.

4.Unakuwa na simu ndogo ambayo ina mawasiliano na michepuko yako yotee. hiyo simu haitakiwi kuonekana kamwe(acha kweny gari au ofisini).

5.Kama unatumia android smartpone ya laini 2 mpe mchepuko namba 1 ukifika home chomoa laini. Kamwe asijue namba ya pili.

6.Kuwa na upendo kwa mke wako na kamwe hakikisha unaplay low ground.UKIANZA KUSTUKIWA ZIDISHA UPENDO KWA WIFE.

7.ACHANA NA HABARI YA KUCHATI HOVYOHOVYO NA MICHEPUKO.TENGENEZA MAZOEA YA KUPIGA SIMU TU.

8.SAVE NAMBA ZA MICHEPUKO KWA VYEO KAMA UNA SIMU 1
mfano. Mtendaji,Mwenyekiti,Meneja,Mkurugenzi, OCD,

Kuna kipindi niliibiwa simu yangu na nkanunua kiswaswadu huku nasubiri end of the month ndake ingine..... nkawa natumia ya wife(smartphone) na michepuko ikawa inatuma picha na kuchat hakustukia mchezo mpka end of the month. Ni kuwa smart tu.
 
Kuchepuka ni Ushamba,

Tulia na mwanamke mmoja kijana .
 
1. Sipigi wala kutext hadi aanze .
yeye (mke wa mtu)
2. Akiwepo mmewe lazima anipe ishara kuwa no freedom.
3. Nina line kwa ajili yake, ina jina la kike.
4. Mafumbo sana kwenye chat zetu.
5. Baada ya mawasiliano yoyote, kila kitu hufutwa hadi contact.
6. Tukikutana, kila mmoja kanuna kama vile hatufahamiani.
 
NAONGEZEAA.

1.Unaweza ukawa na watsap moja ambapo ukimaliza kuchat na mchepuko unamblock,delete chat mpka utakapo tafuta yeye.

2.GBwatsap unahide chat na passcode, kwenye secret vault.

3.Facebook messenger nayo ni kiboko.Mnachat,kutumiana picha,video calls na picha za uchi,Unahide kwa passcode basi kamwe hawezi ona.

4.Unakuwa na simu ndogo ambayo ina mawasiliano na michepuko yako yotee. hiyo simu haitakiwi kuonekana kamwe(acha kweny gari au ofisini).

5.Kama unatumia android smartpone ya laini 2 mpe mchepuko namba 1 ukifika home chomoa laini. Kamwe asijue namba ya pili.

6.Kuwa na upendo kwa mke wako na kamwe hakikisha unaplay low ground.UKIANZA KUSTUKIWA ZIDISHA UPENDO KWA WIFE.

7.ACHANA NA HABARI YA KUCHATI HOVYOHOVYO NA MICHEPUKO.TENGENEZA MAZOEA YA KUPIGA SIMU TU.

8.SAVE NAMBA ZA MICHEPUKO KWA VYEO KAMA UNA SIMU 1
mfano. Mtendaji,Mwenyekiti,Meneja,Mkurugenzi, OCD,

Kuna kipindi niliibiwa simu yangu na nkanunua kiswaswadu huku nasubiri end of the month ndake ingine..... nkawa natumia ya wife(smartphone) na michepuko ikawa inatuma picha na kuchat hakustukia mchezo mpka end of the month. Ni kuwa smart tu.
Mnateseka,nyege zinawatesa,Hadi huruma,
 
Back
Top Bottom