RedPill Prophet
JF-Expert Member
- Apr 25, 2023
- 1,408
- 3,578
Mbinguni kwa walioishi maisha matakatifu. Kuzimu pa moto kwa walioishi maisha ya dhambi.Hivi wakuu tukiacha hizi nadharia na dhana zingine za kufikirika kuhusu hatima yetu baada ya kifo.
Nataka tuongee kiume sasa.
Hivi ni kweli tukifa kuna mahali tunaenda au ni siasa na kufarijiana tu ilmradi maisha yasonge?
Hivi ni kweli tukifa kuna mahali tunaenda au ni siasa na kufarijiana tu ilmradi maisha yasonge?
Nikiri sina jibu la kukupaKama kabla ya kuzaliwa ulikua haujui utajuaje ukifa sasa.
Imani kitu Cha ajabu sana watu mnaamini Kuna watakao kwenda kuchomwa moto mkali milele,wengine mnaamini Kuna watakao imba na malaika milele,wengine mnaamini Kuna mabikra wanawasubiria huko akhera kwenye mabwawa ya tungi ni kula starehe milele!!Mbinguni kwa walioishi maisha matakatifu. Kuzimu pa moto kwa walioishi maisha ya dhambi.
Kwanzia kwenye sparm na yai wewe ni matokeo ya nishati kutokea kwenye mimea na wanyama na udongo , pia ukifa unakua nishati ya mimea wanyama na udongo tena , process hii ni endelevu , wewe ni dunia na dunai ilivyo ni wewe .Nikiri sina jibu la kukupa
According to whom?.kula sana bata, kula kimasikhara hakuna maisha baada ya kifo.......ukifa umekufa no longer mzeee
Kuna kitabu nilisoma kinaitwa how universe works Kuna sehemu wanasema we are all made up by star dust after the big bang!! Yaani hata atoms za mwili wako zimeundwa na vumbi la nyota na ndio maana labda wanasema kwenye biblia tumeundwa na udongo mi sijui!Kwanzia kwenye sparm na yai wewe ni matokeo ya nishati kutokea kwenye mimea na wanyama na udongo , pia ukifa unakua nishati ya mimea wanyama na udongo tena , process hii ni endelevu , wewe ni dunia na dunai ilivyo ni wewe .
How the universe works , uliendelea kukisoma mkuu au uliishia apo tu ?Kuna kitabu nilisoma kinaitwa how universe works Kuna sehemu wanasema we are all made up by star dust after the big bang!! Yaani hata atoms za mwili wako zimeundwa na vumbi la nyota na ndio maana labda wanasema kwenye biblia tumeundwa na udongo mi sijui!
Niliendelea tu nikaona kama kichwa kinapata moto nikatemanaHow the universe works , uliendelea kukisoma mkuu au uliishia apo tu ?
Soma taratibu tu mkuu , ukiyatambua maumbile yanavyofanya kazi , na namna ya kuitumia nishati mbalimbali hutayumbishwa na maneno matupu.Niliendelea tu nikaona kama kichwa kinapata moto nikatemana
Na ni kweli! Mimi huwa napenda kujua ukweli zaidi kuliko kukaririshwa vitu ambavyo sielewiSoma taratibu tu mkuu , ukiyatambua maumbile yanavyofanya kazi , na namna ya kuitumia nishati mbalimbali hutayumbishwa na maneno matupu.
Kwahiyo kuanzia leo ikikupendeza tukubaliane mimi na wewe tu kwamba kifo ndio funga kaziKwanzia kwenye sparm na yai wewe ni matokeo ya nishati kutokea kwenye mimea na wanyama na udongo , pia ukifa unakua nishati ya mimea wanyama na udongo tena , process hii ni endelevu , wewe ni dunia na dunai ilivyo ni wewe .
Mtu akifa haendi kokote hubaki palepale alipofia mpaka waje wale waliyo hai ndiyo watajua wakupeleke wapi.Hivi wakuu tukiacha hizi nadharia na dhana zingine za kufikirika kuhusu hatima yetu baada ya kifo.
Nataka tuongee kiume sasa.
Hivi ni kweli tukifa kuna mahali tunaenda au ni siasa na kufarijiana tu ilmradi maisha yasonge?
Na kamfuma huyo bwege? Pesa yako unafumwa?Kwenye hizo ahadi za kwenye vitabu vya dini ,hazifariji chochote zaidi ya kukufanya uishi kwa mashaka, na kulia pilipili gizani unawashwa lakini hausemi.
Kuna fala moja lokole liliruka fensi kidogo lipasuke kichwa kisa alifumwa anakunywa bia.
Akili yako pekee inatosha kuujua ukwel kama hautaifungia kwenye mipaka ya aina yoyote.Na ni kweli! Mimi huwa napenda kujua ukweli zaidi kuliko kukaririshwa vitu ambavyo sielewi
🤣🤣Na kamfuma huyo bwege? Pesa yako unafumwa?
Kifo ni funga kazi katika umbile moja ila nifungua kazi katika umbile jingne la kinishati.Kwahiyo kuanzia leo ikikupendeza tukubaliane mimi na wewe tu kwamba kifo ndio funga kazi