Je, kuna madhara mtiu kukaa mda mrefu pasipo kufanya mapenzi?

Je, kuna madhara mtiu kukaa mda mrefu pasipo kufanya mapenzi?

Ukidumu bila tendo la ndoa muda mrefu, baadhi ya madhara madogomadogo nikama haya:

[emoji117] Hasira za mara kwa mara ktk mambo madogo
[emoji117] kupendelea sana kuangalia picha za uchi
[emoji117] Kusahausahau
[emoji117] Kupendelea story za mapenzi
[emoji117] Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke)
[emoji117] Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu)
[emoji117] Kuumwa na kichwa
[emoji117] Kukakamaa mgongo (wanaume)
[emoji117] Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba
[emoji117] Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency)
[emoji117] Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno
[emoji117] Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala kama ulevi n.k.
Nakubaliana na wewe kabisa baadhi ya hayo yalishanikuta.. Hasira.. Ndoto za mapenzi.. Na kutafuta kitu mbadala km pombe nk..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom