Je kuna aliyechaguliwa chuo kupitia NACTE mwaka hakuripoti chuo na mwaka amekubaliwa kuapply upya?

MP CHACHANDU

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
875
615
Huu Uzi ni special kwa wale waliapply chuo mwaka Jana na wakapata chuo lakini hawakwenda kuripoti je ? Wameapply mwaka huu dirisha la nacte lilofunguliwa Jana wamekubaliwa kuapply ?
 
Nilimuuliza mwanazuoni mmoja aliniambia hakuna shida yoyote. Labda shida ingekuwa umejidhihirisha kuwa unakwenda
 
je kama kuna MTU amefanyiwa usajili halafu akashindwa kuendelea na masomo mwaka huu wa masomo.je akiapply upya tena system ikifungiliwa itakuaje?
 
Mtu aliyemaliza form four 2009 na form six 2012 anaruhusiwa ku-apply diploma ya afya matokeo yake mazuri tu.
 
Diploma yoyote ya afya ya binadamu..lakini si mbaya pia ukitoa ushauri kulingana na huo ufaulu na uelewa wako kuhusu course za afya.
 
Diploma yoyote ya afya ya binadamu..lakini si mbaya pia ukitoa ushauri kulingana na huo ufaulu na uelewa wako kuhusu course za afya.
Huwezi kusoma diploma direct utaanza na certificate kwanza miaka miwili kusoma diploma lazima uwe ,physics, D,chemistry, C,na biology, C ,wewe biology una D huruhusiwi kuanza na diploma
 
Back
Top Bottom