Je kumtoa mwanamke bikra kwa age ya 23 kunamadhara.??

Je kumtoa mwanamke bikra kwa age ya 23 kunamadhara.??

Joasi

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
766
Reaction score
680
Habari za asubuhi vijana na wazee ..
Naomba kufahamu madhala yatakayotoka baada ya kumtoa bikra huyu dada maana Ndo my plan one in life.now yupo songea na Mimi nipo dodoma kikazi wote wawili .msaada hapo Jamani .niwait mpaka ndoa au nivinje tu.


Thanks.:-.'.:-.
 
Nipe namba yake nimtafute huyo bikra wa 23
 
Embu Fafanua Hiyo Bikra ya wapi labda kwenye 071 maana songea afu miaka 23???Labda mpovu kama gari la boko halali.
 
hamna madhara yoyote ..... ni kuweka agano la kudumu na yeye.... ila be gentle kwake maana ni kama unamchana na nyembe....
 
Madhara yapo maana utakuwa unatenda dhambi ya uzinzi ambayo itakufanya ukaangamie jehanamu milele na milele.
unaweza mpa mimba uko tayari kulea mtoto.
pili utakuwa umeharibu hazina ya mwenziyo ambayo angekuja kumzawadia mumewe mpenzi.
usifanye uzinzi naye muoe tu kama ameweza kujitunza miaka yote hiyo atashindwaje kuvumilia miaka michache kabla hujamuoa.
 
Back
Top Bottom