Je, kuchanganya asali na limao kuna madhara?

Dr Luu

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2016
Posts
966
Reaction score
855
Habari,
Nimeleta huu mjadala kwa kuwa hofu imejengeka miongoni mwetu hasa linapokuja suala la kunywa mchanganyiko wa asali na limao. Wakati nina kua nilipata kusikia haya na ilifika wakati nikila asali basi hata ikipita masaa naogopa kutumia limao kabisa hata likiwa kwenye mboga au kachumbari. Bila shaka wako pia wenye hofu au uwelewa huu. Basi tujadili hili kwa uzoefu kwa pamoja na mwishoni tuweze pata hitimisho la pamoja kuliko kushusha nondo tu.
Haya ndugu zangu tujadili hili.

1000105272.jpg

wapenzi wa picha sijawasahau.
 
Ngoja wadau waje japo wengi tumetumia huo mchanganyiko miaka na miaka hatujapata madhara
 
Habari,
Nimeleta huu mjadala kwa kuwa hofu imejengeka miongoni mwetu hasa linapokuja suala la kunywa mchanganyiko wa asali na limao. Wakati nina kua nilipata kusikia haya na ilifika wakati nikila asali basi hata ikipita masaa naogopa kutumia limao kabisa hata likiwa kwenye mboga au kachumbari. Bila shaka wako pia wenye hofu au uwelewa huu. Basi tujadili hili kwa uzoefu kwa pamoja na mwishoni tuweze pata hitimisho la pamoja kuliko kushusha nondo tu.
Haya ndugu zangu tujadili hili.

View attachment 3427054
wapenzi wa picha sijawasahau.
Hakuna shida yoyote.
 
Sijui huu uongo walitungaje na walikua na lengo gani?
Unfortunately,
You can fool all of the people some of time; you can fool some of the people all of the time, but you can't fool all the people all the time.” Attributed to Abraham Lincoln in The New York Times
 
Habari,
Nimeleta huu mjadala kwa kuwa hofu imejengeka miongoni mwetu hasa linapokuja suala la kunywa mchanganyiko wa asali na limao. Wakati nina kua nilipata kusikia haya na ilifika wakati nikila asali basi hata ikipita masaa naogopa kutumia limao kabisa hata likiwa kwenye mboga au kachumbari. Bila shaka wako pia wenye hofu au uwelewa huu. Basi tujadili hili kwa uzoefu kwa pamoja na mwishoni tuweze pata hitimisho la pamoja kuliko kushusha nondo tu.
Haya ndugu zangu tujadili hili.

View attachment 3427054
wapenzi wa picha sijawasahau.
Hakuna shida kabisa na ni nzuri Sana kiafya
 
🌸 Faida za kutumia asali🍯 na limao 🍋 kwa asili 🌿

Intro:

Mchanganyiko wa asali na lemon ni dawa ya asili inayosaidia mwili na kinga.

Maelezo Makuu:

1. Huondoa sumu na husaidia ini kusafisha mwili. 🧽

2. Huimarisha kinga ya mwili. 🛡️

3. Huongeza mmeng’enyo na nguvu za chakula. 🥗

4. Husaidia ngozi kuwa yenye mwonekano mzuri. ✨

5. Huongeza nishati na afya ya moyo. 💖⚡

Hitimisho:
Asali + lemon kila asubuhi = mwili safi na nguvu.💪🤩
 
Back
Top Bottom