Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,564
- 88,576
Si ndio hapo sasa, hata mie nililigundua hilo ila nikajifanya kama sijaona.Wee jamaa unazingua sasa[emoji38][emoji38][emoji38]umesoma robo na wakati hilo la kujuana nje ya jf ndo kamalizia nalo?au umeanza chini kuja juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa kajitekenya halafu kacheka mwenyewe, anyways nimeambiwa nimpotezee.