Je Kitilya wa TRA unalijua hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Kitilya wa TRA unalijua hili

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MmasaiHalisi, Aug 1, 2011.

 1. MmasaiHalisi

  MmasaiHalisi Senior Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Jan 15, 2009
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimatumaini yangu uzima wa afya,ninayofuraha kuchua nafasi hii kukujulisha malalamiko sisi wafanyabiashara wa kibaha,kwani hapa kibaha kuna wafanyabiashara wakubwa na wadogo,kuna huu mfumo wamalipo kutumia (EFD) machine cha ajabu sisi wafanyabiashara wadogo ukikutwa huna hiyo machine TRA kibaha wanaweza kukufungia kiduka chako,kuna mfanyabiashara anaitwa Leburu mfinanga ambaye ni mmiliki wa Contena Bar amabayo ni bar kubwa hapa kibaha. yeye mapaka leo hajaweka hiyo machine kwenye bar yake na taarifa tulizo nazo anakula na wafanyakazi wa TRA,je hii ni sawa kwa nini sisi wengine wanatunyanyasa
   
 2. mtoto wa mfugaj

  mtoto wa mfugaj Senior Member

  #2
  Aug 2, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  una wazo na malalamiko mazuri,nakushauri ufuate taratibu zinazohusika ikiwepo kupeleka maoni yako na malalamiko yako ofisi za tra zilizo karibu yako katika sanduku la maoni.kama unahisi tra iliyokaribu nawewe haitasikiliza maoni yako yapeleke tra makao makuu
   
 3. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mbona Mkuu inaonekana una chuki binafsi?
   
 4. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2011
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kw kadiri ninavyoelewa mimi wafanya biashara wadogo-ambao hawajasajiliwa kwenye VAT,hawajaanza kulazimishwa kutumia hizo mashine,je walikufungia baishara na kukupa barua au walifanyaje na kama ni maafisa wa TRA ,walijitambusliha una majina na vitambulisho vyao?
  Tupe tukusaidie hy kazi mara moja,lakini kama shida yako ni huyo Leburu afungiwe hy ni ngumu kukusaidia.
  RE
   
 5. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Kwani TRA kama wako makini hawawezi kufanyia kazi hayo mawazo au hiyo taarifa???????????? Mpaka aende HQ yao kivipi?????????????
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,768
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />


  NA MAKAO MAKUU WASIPOSIKILIZA APELEKE WAPI NA UNA UHAKIKA GANI AJAFIKA KOTE UNAHISI KAAMKA TU KULIPUKA JF SABABU ANA MODERN YA KAMPUNI LA HASHA MKUU KUNA MENGINE YANAITAJI KUONWA ZAIDI YA WALIO TRA ILI WAWEZE BADILIKA...
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,768
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />


  NA WEWE KULA NAO KWANI WAMEAGA WAMEACHA FAMILIA NYUMBAN NA MAJI YANACHEMKA AWAJUI UNGA WATANUNUA SAA NGAPI HIKI NDICHO WANACHONIFURAHSHA ASKARI WA POLISI TRA,,NA SASA USIKU WAZEE WA LUGALO WAMEANZA KUKAMATA PIKIPIKI NA KUOMBA ALF 5 LAANA KWELI HAWA NIMEPAKIZA MTU WA ALF 2 NIKUPE TANO ITOKE CHOONI..MKUU BADO AWAJAANZA NA WAKIANZA NA MIIMI NAJINYONGA KAMA ZOMBE ALIVYOSEMMA MACHINE YENYEWE MILLIONS NAINGIZA NGAPI
   
Loading...