vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 1,385
- 2,531
Wakuu habari zenu.
Kwa Wakazi wa Kinyerezi na pia watu wanaotumia barabara ya Kinyerezi kwenda Mbezi, bila shaka mtakuwa shuhudia eneo la kujivinjari iliyopo kwenye kona ya kwenda stendi ya Kinyerezi inayotumika kwasasa iliyopo.
Eneo hilo linaitwa KINYEREZI PARK. Humo ndani kuna vitu vingi ikiwemo maukumbi, sehemu ya kuogelea, bar, n.k. Mwanzoni fikra zangu nilijua KINYEREZI PARK inamilikiwa na mtu binafsi lakini kitendo cha kuwepo jiwe la msingi, + sherehe ya uzinduzi ndio limenitatiza hapo.
Je, KINYEREZI PARK ni inamilikiwa na Serikali au serikali imeingia ubia au ni mali ya mtu binafsi?