Je, Kinyerezi Park inamilikiwa na Serikali au Serikali imeingia ubia?

vibertz

JF-Expert Member
Mar 15, 2022
1,276
2,338
Wakuu habari zenu.

Kwa Wakazi wa Kinyerezi na pia watu wanaotumia barabara ya Kinyerezi kwenda Mbezi, bila shaka mtakuwa shuhudia eneo la kujivinjari iliyopo kwenye kona ya kwenda stendi ya Kinyerezi inayotumika kwasasa iliyopo.

Eneo hilo linaitwa KINYEREZI PARK. Humo ndani kuna vitu vingi ikiwemo maukumbi, sehemu ya kuogelea, bar, n.k. Mwanzoni fikra zangu nilijua KINYEREZI PARK inamilikiwa na mtu binafsi lakini kitendo cha kuwepo jiwe la msingi, + sherehe ya uzinduzi ndio limenitatiza hapo.

Je, KINYEREZI PARK ni inamilikiwa na Serikali au serikali imeingia ubia au ni mali ya mtu binafsi?
 
kwani umemuona hapo Rais wa JMT, au Makamu au waziri mkuu, au Au waziri yeyote, au Naibu wake au RC au hata DC?

hata wewe ukijenga choo chako nyumbani unaweza kukiwekea jiwe la msingi na kuzindua.

Jiwe la maingi sio hati miliki ya serikali hata wewe unaweza nunua boxer mpya kabla hujaivaa ukaiwekea jiwe la msingi
 
hapo kwenye boxer nakazia
 
Kwenye jiwe la msingi likiandika mradi huu umezinduliwa na ................ Hapa mbele anamalizia kwa kuweka jina lake? Au la mkewe? Au la wazazi wake ? Ni lazima kiongozi kutoka ngazi ya kiutawala ( Serikali) atahusika hapo. Na kwanini ahusike kutumia kodi ya wananchi kama mradi sio wa umma? Binafsi leo nimeona magari ya polisi yakiwa maeneo hayo ili kulinda usalama.
 
Kulingana na changamoto za panya rodi askar kuweka kambi ktk maeneo yaliyochangamka sana si ajabu
 
Wakuu habari zenu.

Kwa Wakazi wa Kinyerezi na pia watu wanaotumia barabara ya Kinyerezi kwenda Mbezi, bila shaka mtakuwa shuhudia eneo la kujivinjari iliyopo kwenye kona ya kwenda stendi ya Kinyerezi inayotumika kwasasa iliyopo.

Eneo hilo linaitwa KINYEREZI PARK. Humo ndani kuna vitu vingi ikiwemo maukumbi, sehemu ya kuogelea, bar, n.k. Mwanzoni fikra zangu nilijua KINYEREZI PARK inamilikiwa na mtu binafsi lakini kitendo cha kuwepo jiwe la msingi, + sherehe ya uzinduzi ndio limenitatiza hapo.

Je, KINYEREZI PARK ni inamilikiwa na Serikali au serikali imeingia ubia au ni mali ya mtu binafsi?

Hata ukijenga nyumba yako ukitaka izinduliwe hivyo unaweza ita kiongozi yeyote akafanya uzinduzi. Sio lazima iwe mali ya serikali.
 
Ni mama mmoja wa kipale, tafuta pesa ndugu yangu hata ukitaka samia azindue atakuja tu. Nilipiga kazi ya finishing hapo alafu bi mkubwa hana shida kwenye malipo basi nilisogeza maisha kimtindo.
 
Kaka, Kinyerezi park Ni ya mtu binafsi, Lakini pia Ni mdau wa Maendeleo wa Kata ya Kinyerezi... Kama utaona Kinyerezi yote Sasa hivi Ina mapipa ya Dustbin yametolewa na huyo Mzee baba.

Pia mule Kinyerezi park Ni pakawaida Sana ukitoa swimming hamna kitu.
 
kwani umemuona hapo Rais wa JMT, au Makamu au waziri mkuu, au Au waziri yeyote, au Naibu wake au RC au hata DC?

hata wewe ukijenga choo chako nyumbani unaweza kukiwekea jiwe la msingi na kuzindua.

Jiwe la maingi sio hati miliki ya serikali hata wewe unaweza nunua boxer mpya kabla hujaivaa ukaiwekea jiwe la msingi
Vile vile unaweza ukaoa mke wa pili, ukaweka jiwe la msingi na ukamzindua.
 
Wakuu habari zenu.

Kwa Wakazi wa Kinyerezi na pia watu wanaotumia barabara ya Kinyerezi kwenda Mbezi, bila shaka mtakuwa shuhudia eneo la kujivinjari iliyopo kwenye kona ya kwenda stendi ya Kinyerezi inayotumika kwasasa iliyopo.

Eneo hilo linaitwa KINYEREZI PARK. Humo ndani kuna vitu vingi ikiwemo maukumbi, sehemu ya kuogelea, bar, n.k. Mwanzoni fikra zangu nilijua KINYEREZI PARK inamilikiwa na mtu binafsi lakini kitendo cha kuwepo jiwe la msingi, + sherehe ya uzinduzi ndio limenitatiza hapo.

Je, KINYEREZI PARK ni inamilikiwa na Serikali au serikali imeingia ubia au ni mali ya mtu binafsi?
Picha ya hiyo park pls!
 
Mwanzoni fikra zangu nilijua KINYEREZI PARK inamilikiwa na mtu binafsi lakini kitendo cha kuwepo jiwe la msingi, +
Mkuu kijijini kwangu kuna nyumba ya mwananchi wa kawaida ilizinduliwa na mwenge na ikaitwa nyumba bora ya mwananchi, hapo unasemaje?
 
Back
Top Bottom