Je, Kinachomponza Mbowe ni Anasa?

Status
Not open for further replies.

ndio kwanza unaibua maswali mengi, unakanusha wewe ni spokesperson wa chadema ?? hauna uhusiano wowote na chadema kujua kwamba haipo affiliated na jamboforums ? mbona wengine hawajakanusha ila wewe umekuwa mstari wa mbele kutetea hicho unachosema ?

kama husemi kwa kubahatisha then, tunaomba ufafanue ulichosema kwamba jamboforums si ya chadema !

kumbuka kwamba earlier members alikuwepo fisadi mbowe kuja kuipiga jeki jamboforums !
 
kwani anasa ni nini? kutumia helkopta? kunywa pombe? kuwa na mahawara? ziara exotic? motorcade ndefu? kuendesha gari la kifahari? kuishi kwenye nyumba nzuri?
 

Ni wajinga sana .............. Range ya sh120m ndio hanasa? ...............Historia ya maisha yake inajieleza...................Hajatokea Familia Makini.........
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…