kagumyamuheto
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 286
- 3
Na wewe acha story zako za kipuuzi kwanini uwe wewe tu kila unakokwenda inawezekana una gundu hujijui.wakati nasoma o-level pale Mazengo sec - Dodoma, kuna mwalimu (maaraufu - Kifutu - mhaya) aliwahi kula kiapo cha kunifukuza shule au yeye aache kazi. kisa eti mimi ni muislamu. nilikuwa nakaa bweni la Mwenge na kila mara nikienda kuchota maji pale kwake karibu na bweni akinifukuza. alikuwa mwalimu wa A-level na mimi nipo O-level. sasa nikawa najiuliza kwa nini mimi tu? baadae nikagundua kuwa ananichukia kwa vile nilipendelea kuvaa kofia. alifikia mahala akishinikiza nipewe suspension na nikapewa lakini niliappeal na mwalimu TETE akanisimamia na nikashinda na kuendelea na shule. huyu mwalimu alikuwa muumini sana wa kanisa. hiyo ndiyo hali halisi.
hayafai kusemwa haya lakini yamefanyika mengi. mimi nilimsamehe kwani hakujua maana ya mafundisho ya Biblia - mpende adui yako!
tuweni na nia safi mioyoni mwetu na pale penye uovu hata kama unafanywa na muumini au kiongozi wako tusimame kwenye utaifa na uzalendo. nchi hii ni yetu sote. hakuna mwenye haki juu ya mwingine. turejee historia na tuone akina nani walipigania uhuru wa nchi hii. je, sio wale wanaokaa madrasa na kula ubwabwa kama tunavyowabeza sasa?
Niliwahi kwenda kuomba kazi pale "Devis & Shetliff" na director Mr. Tony Mwangi baada ya mahojiano ya muda mrefu akaniuliza , are you a Muslim? nikajua wazi hapa sipati kazi kwani majina yangu hayakuhitaji swali lile. kweli baada ya muda nikasikia kaajiriwa somebody philip!
wakati nasoma o-level pale Mazengo sec - Dodoma, kuna mwalimu (maaraufu - Kifutu - mhaya) aliwahi kula kiapo cha kunifukuza shule au yeye aache kazi. kisa eti mimi ni muislamu. nilikuwa nakaa bweni la Mwenge na kila mara nikienda kuchota maji pale kwake karibu na bweni akinifukuza. alikuwa mwalimu wa A-level na mimi nipo O-level. sasa nikawa najiuliza kwa nini mimi tu? baadae nikagundua kuwa ananichukia kwa vile nilipendelea kuvaa kofia. alifikia mahala akishinikiza nipewe suspension na nikapewa lakini niliappeal na mwalimu TETE akanisimamia na nikashinda na kuendelea na shule. huyu mwalimu alikuwa muumini sana wa kanisa. hiyo ndiyo hali halisi.
hayafai kusemwa haya lakini yamefanyika mengi. mimi nilimsamehe kwani hakujua maana ya mafundisho ya Biblia - mpende adui yako!
tuweni na nia safi mioyoni mwetu na pale penye uovu hata kama unafanywa na muumini au kiongozi wako tusimame kwenye utaifa na uzalendo. nchi hii ni yetu sote. hakuna mwenye haki juu ya mwingine. turejee historia na tuone akina nani walipigania uhuru wa nchi hii. je, sio wale wanaokaa madrasa na kula ubwabwa kama tunavyowabeza sasa?
Niliwahi kwenda kuomba kazi pale "Devis & Shetliff" na director Mr. Tony Mwangi baada ya mahojiano ya muda mrefu akaniuliza , are you a Muslim? nikajua wazi hapa sipati kazi kwani majina yangu hayakuhitaji swali lile. kweli baada ya muda nikasikia kaajiriwa somebody philip!
mods, na wana jf,
haitakuwa busara kwa thread hii kuipeleka sehemu ya dini, inajulikana sehemu hiyo haifikiwi na watu wengi hapa jf ikiwa mimi mmoja wapo.
ni matumaini yangu kuweza kuiaccess hii thread na kuona mijadala ikichangiwa ili kuweza kujua ukweli.
sitegemei kuwa jf/mods wapo kwa ajili ya kuchochea chuki dhidi ya serikali iliyopo madarakani kwani kama itakuwa ni hivyo basi wanafanya jambo la hatari sana linaloweza kutugharimu. Tumeona ile thread ya oic ikiachiwa kuchangiwa na kila mtu na mwenye kila tusi dhidi ya dini ya kiisamu na kejeli akiachiwa kwa marefu na mapana. Kwahiyo sioni sababu ya hii thread ya kisiasa zaidi kutupiwa huko kusikojulikana.
mwisho napenda kutoa angalizo:
sio haki kuhamisha thread ya mtu na kuipeleka sehemu asiyokuwa na access nayo. Hapa jf ni sehemu ya kutoa mawazo na kila mmoja aheshimiwe mawazo yake na sio kufungwa na kutupwa kapuni.
kuna tetesi zimeenea mtaani kuwa baada ya jk kuingia madarakani aligomea ruzuku iliyokuwa ikitolewa na serikali kuendesha makanisa pamoja na taasisi zinazoendeshwa na makanisa katoliki nchini kama shule, hospitali na vyuo. "the government shall provide financial assistance to church institutions and shall seek financial assistance to church run social services in its bilateral negotiations with foreign governments"
source :the memorandum of understanding between the government of the united republic of tanzania and the tanzania episcopal council (tec) and the christian council of tanzania-page 3 (attached herewith)
nasikia jk aliwaambia kuwa nchi hii haina dini na itakuwa ubaguzi kuwapa ruzuku watu wa dini moja na kuwaacha wa dini nyinginezo akatolea mfano kuna waislam, wabudda, masingasinga, wahindu na wasiokuwa na dini je hao hawana haki ya kupewa ruzuku? Na serikali ikitoa ruzuku kwa hawa wote itawezaje kujiendesha? Basi bora mkose wote. Hapo naona jk aliona mbali sana ila hakujua kama anajiharibia yeye na chama chake. Na ndio maana kwa kutumia mlango wa nyuma kuna chama kikasimamisha watumishi wa mungu kwa wingi na kufanikiwa kupenya kila pembe ya tanzania. Inasemekana kanisa liliplay part kubwa kwa mafanikio ya chama fulani. Na hizo zilikuwa ni hasira za watumishi wa kanisa.
Kuna tetesi kuwa wafuatiliaji wa mambo wameithibitishia serikali ubadhirifu mkubwa wa ruzuku iliyokuwa inatolewa na serikali sambamba na misamaha ya kodi. Misamaha hii ya kodi ni ile ya uagizwaji magari na vitu mbalimbali kupitia trustees za makanisa. Na tangu kuanza kubanwa kumekuwa na uaigizaji wa vitu mdogo tofauti na hapo mwanzo, maana inasemekana wajanja walikuwa wanatumia mwanya huo kujinufaisha.
Ukiunganisha picha itaona hapo ndio chanzo hasa cha timbwili hili mnaloliona leo lililo vikwa ngozi ya vyama vya siasa ( upinzani ). Hapo awali wakristo na ccm walikuwa chanda na pete. Ilikuwa ni kosa la jinai kwa mkristo mwenye imani kuwa upinzani ndio maana hata viongozi wao wengi mwaka 2005 walisema jk "chaguo la mungu"
leo hii ukitia pua tu jf na maeneo mengi kwenye mitandao na mitaani utakutana na shutuma kuwa jk ni mdini, lakini hawatoi facts za udini wake.
je, jk ni mdini?
orodha ya baraza la mawaziri na manaibu wa wizara 26 za jamhuri ya muungano wa tanzania 2010 - 2015
- waziri wa nchi, ofisi ya rais, utawala bora - mathias chikawe (mkristo)
- waziri wa nchi, oisi ya rais, mahusiano na uratibu - steven wassira (mkristo)
- waziri wa nchi, ofisi ya rais, menejimenti ya utumishi wa umma - hawa ghasia
- waziri wa nchi, ofisi ya makamu wa rais, waziri wa muungano - samia suluhu hassan
- waziri wa nchi, ofisi ya makamu wa rais, waziri wa mazingira - dk. Terezya luoga-hovisa (mkristo)
- waziri wa nchi, ofisi ya waziri mkuu, waziri wa sera, uratibu na bunge - william lukuvi (mkristo)
- waziri wa nchi, ofisi ya waziri mkuu, waziri wa uwekezaji na uwezeshaji - mary nagu (mkristo)
- waziri wa nchi, ofisi ya waziri mkuu, tawala za mikoa na serikali za mitaa - george mkuchika (mkristo)
- naibu waziri wa nchi, ofisi ya waziri mkuu, tawala za mikoa na serikali za mitaa (i) - aggrey mwanri (mkristo)
- naibu waziri wa nchi, ofisi ya waziri mkuu, tawala za mikoa na serikali za mitaa (ii)kassim majaliwa -
- waziri wizara ya fedha - mustapha mkullo
- naibu waziri wizara ya fedha (i) - gregory teu (mkristo)
- naibu waziri wizara ya fedha (ii) - pereira ame silima
- waziri wizara ya mambo ya ndani ya nchi - shamsi vuai nahodha
- naibu waziri wizara ya mambo ya ndani ya nchi - balozi khamis suedi kagasheki
- waziri wa katiba na sheria - selina kombani (mkristo)
- waziri wizara ya mambo ya nje - bernard membe (mkristo)
- naibu waziri wizara ya mambo ya nje - mahadhi juma mahadhi
- waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa - dk. Hussein ali hassan mwinyi
- waziri wizara yamaendeleo ya mifungo - dk. Mathayo david mathayo (mkristo)
- naibu waziri wizara ya maendeleo ya mifungo - benedict ole nangoro (mkristo)
- waziri wizara ya mawasiliano sayansi ya teknolojia - profesa makame mnyaa m'barawa
- naibu waziri wizara ya mawasiliano sayansi ya teknolojia - charles kitwanga(almaaruf mawe matatu) (mkristo)
- waziri wizara ya ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi - profesa anna kajumulo-tibaijuka (mkristo)
- naibu waziri wizara ya ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi - goodluck ole medeye (mkristo)
- waziri wizara ya maliasili na utalii - ezekiel maige (mkristo)
- waziri wizara ya nishati na madini - william mghanga ngeleja (mkristo)
- naibu waziri wizara ya nishati na madini - adam kighoma ali malima
- waziri wizara ya wa ujenzi (barabara na viwanja vya ndege) - dk. John pombe magufuli (mkristo)
- naibu waziri waziri wizara ya wa ujenzi - dk. Harrison mwakyembe (mkristo)
- waziri wizara ya uchukuzi - (reli, bandari, usafiri wa majini) - omary nundu
- naibu waziri wizara ya uchukuzi - athuman mfutakamba
- waziri wizara ya viwanda na biashara -dk. Cyril chami (mkristo)
- naibu waziri wizara ya viwanda na biashara - lazaro nyalandu (mkristo)
- waziri wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi - dk. Shukuru kawambwa (mkristo)
- naibu waziri wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi - philipo mulugo (mkristo)
- waziri wizara ya afya na ustawi wa jamii - dk. Haji hussein mpanda
- naibu waziri wizara ya afya na ustawi wa jamii - dk. Lucy nkya (mkristo)
- waziri wizara ya kazi na ajira - gaudensia kabaka (mkristo)
- naibu waziri wizara ya kazi na ajira - dk. Makongoro mahanga (mkristo)
- waziri wizara ya maendeleo ya jamii, jinsia na watoto - sophia simba
- naibu waziri wizara ya maendeleo ya jamii, jinsia na watoto - umi ali mwalimu
- waziri wizara ya habari, vijana, utamaduni na michezo - emmanuel john nchimbi (mkristo)
- naibu waziri wizara ya habari, vijana, utamaduni na michezo - dk. Fenela mukangala (mkristo)
- waziri wizara ya ushirikiano afrika mashariki - samuel john sitta (mkristo)
- naibu waziri wizara ya ushirikiano afrika mashariki - abdallah juma abdallah
- waziri wizara ya kilimo, chakula na ushirika - profesa jumanne maghembe
- naibu waziri wizara ya kilimo, chakula na ushirika - christopher chizza (mkristo)
- waziri wizara ya maji - profesa mark james mwandosya (mkristo)
- naibu waziri wizara ya maji - gerson lwinge (mkristo)
jumla yote ni 50 kati yao wakristo 32 na waislam 18.
Wakristo 64%
waislam 36%
ukiangalia wakuu wa mikoa na wilaya utaona wakristo ni wengi zaidi ya waislam sasa sijui na sifahamu huo udini wa jk upo wapi???
Mwenye data tafadhali azilete jamvini.
Unfortunately, your last sentence has also proven you to be a mdini.Kwenye psychology hiyo inaitwa "projection" yaani jambo unalolifanya wewe unadai kwamba linafanywa na mwingine. Kagumyamuheto Hayo mambo unayosema kwa taarifa yako yanafanywa na waislam. Tunasikia sana manyanyaso ya wakristo wa zanzibar, somalia, misri, sudan, nigeria, pakistan, bangladesh, afighanistan, saudi arabia, iraq nk lakini cha ajabu utakisika kila siku kilio cha waislam kuonewa. Mfano mwingine wa projection ni hili la kudai kuwepo udini lakini ukichunguza kwa kina utaona waislam ndo wadini mfano kudai mahakama ya kadhi au Tz kuwa nchi ya kiislam (OIC) wakati siyo watz wote ni waislam. Pia angalia viongozi wakuu wa nchi marais 4 (muungano 2, zanzibar 2), mawaziri wa wizara nyeti (ulinzi, fedha, mambo ya ndani) nk nk. Uislam ni ugomvi na siku zote waumini wake wanatafuta tu sababu za kuhalalisha asili yao ya ugomvi na umwagaji damu. God save Tz from the curse of Islam.
Hawa Wakristo ndiyo wagomvi sana wa udini. Wao wanataka kuwatala watu wengine ambao si wakristo kwa kutumia hela za serikali, halafu wanamlaumu JK kwamba ni mdini. BS.
kama siyo mdini uniambie balaza lake hao 64% ni wakristo wa madhehebu gani!???Mods, na wana JF,
Haitakuwa busara kwa thread hii kuipeleka sehemu ya dini, inajulikana sehemu hiyo haifikiwi na watu wengi hapa JF ikiwa mimi mmoja wapo.
Ni matumaini yangu kuweza kuiaccess hii thread na kuona mijadala ikichangiwa ili kuweza kujua ukweli.
Sitegemei kuwa JF/Mods wapo kwa ajili ya kuchochea chuki dhidi ya Serikali iliyopo madarakani kwani kama itakuwa ni hivyo basi wanafanya jambo la hatari sana linaloweza kutugharimu. Tumeona ile thread ya OIC ikiachiwa kuchangiwa na kila mtu na mwenye kila tusi dhidi ya dini ya kiisamu na kejeli akiachiwa kwa marefu na mapana. Kwahiyo sioni sababu ya hii thread ya kisiasa zaidi kutupiwa huko kusikojulikana.
Mwisho napenda kutoa angalizo:
Sio haki kuhamisha thread ya mtu na kuipeleka sehemu asiyokuwa na access nayo. Hapa JF ni sehemu ya kutoa mawazo na kila mmoja aheshimiwe mawazo yake na sio kufungwa na kutupwa kapuni.
Kuna tetesi Zimeenea mtaani kuwa baada ya JK kuingia madarakani aligomea ruzuku iliyokuwa ikitolewa na Serikali kuendesha makanisa pamoja na taasisi zinazoendeshwa na makanisa katoliki nchini kama shule, hospitali na vyuo. "The Government shall provide financial assistance to Church institutions and shall seek financial assistance to Church run social services in its bilateral negotiations with foreign governments"
source :The Memorandum of Understanding between the Government of the United Republic of Tanzania and the Tanzania Episcopal Council (TEC) and the Christian Council of Tanzania-page 3 (attached herewith)
Nasikia JK aliwaambia kuwa nchi hii haina dini na itakuwa ubaguzi kuwapa ruzuku watu wa dini moja na kuwaacha wa dini nyinginezo akatolea mfano kuna waislam, wabudda, masingasinga, wahindu na wasiokuwa na dini je hao hawana haki ya kupewa ruzuku? na serikali ikitoa ruzuku kwa hawa wote itawezaje kujiendesha? Basi bora mkose wote. Hapo naona JK aliona mbali sana ila hakujua kama anajiharibia yeye na chama chake. Na ndio maana kwa kutumia mlango wa nyuma kuna chama kikasimamisha watumishi wa Mungu kwa wingi na kufanikiwa kupenya kila pembe ya Tanzania. Inasemekana Kanisa liliplay part kubwa kwa mafanikio ya chama fulani. Na hizo zilikuwa ni hasira za watumishi wa kanisa.
KUNA TETESI KUWA WAFUATILIAJI WA MAMBO WAMEITHIBITISHIA SERIKALI UBADHIRIFU MKUBWA WA RUZUKU ILIYOKUWA INATOLEWA NA SERIKALI SAMBAMBA NA MISAMAHA YA KODI. MISAMAHA HII YA KODI NI ILE YA UAGIZWAJI MAGARI NA VITU MBALIMBALI KUPITIA TRUSTEES ZA MAKANISA. NA TANGU KUANZA KUBANWA KUMEKUWA NA UAIGIZAJI WA VITU MDOGO TOFAUTI NA HAPO MWANZO, MAANA INASEMEKANA WAJANJA WALIKUWA WANATUMIA MWANYA HUO KUJINUFAISHA.
Ukiunganisha picha itaona hapo ndio chanzo hasa cha timbwili hili mnaloliona leo lililo vikwa ngozi ya vyama vya siasa ( upinzani ). Hapo awali Wakristo na CCM walikuwa chanda na pete. Ilikuwa ni kosa la jinai kwa mkristo mwenye imani kuwa upinzani ndio maana hata viongozi wao wengi mwaka 2005 walisema JK "chaguo la Mungu"
Leo hii ukitia pua tu JF na maeneo mengi kwenye mitandao na mitaani utakutana na shutuma kuwa JK ni Mdini, lakini hawatoi facts za udini wake.
Je, JK ni mdini?
Orodha ya Baraza la Mawaziri na Manaibu wa Wizara 26 za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2010 - 2015
Jumla yote ni 50 kati yao wakristo 32 na waislam 18.
- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utawala Bora - Mathias Chikawe (Mkristo)
- Waziri wa Nchi, Oisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu - Steven Wassira (Mkristo)
- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma - Hawa Ghasia
- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Waziri wa Muungano - Samia Suluhu Hassan
- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Waziri wa Mazingira - Dk. Terezya Luoga-Hovisa (Mkristo)
- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Waziri wa Sera, Uratibu na Bunge - William Lukuvi (Mkristo)
- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji - Mary Nagu (Mkristo)
- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa - George Mkuchika (Mkristo)
- Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (i) - Aggrey Mwanri (Mkristo)
- Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (ii)Kassim Majaliwa -
- Waziri Wizara ya Fedha - Mustapha Mkullo
- Naibu Waziri Wizara ya Fedha (i) - Gregory Teu (Mkristo)
- Naibu Waziri Wizara ya Fedha (ii) - Pereira Ame Silima
- Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi - Shamsi Vuai Nahodha
- Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi - Balozi Khamis Suedi Kagasheki
- Waziri wa Katiba na Sheria - Selina Kombani (Mkristo)
- Waziri Wizara ya Mambo ya Nje - Bernard Membe (Mkristo)
- Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje - Mahadhi Juma Mahadhi
- Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa - Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi
- Waziri Wizara yaMaendeleo ya Mifungo - Dk. Mathayo David Mathayo (Mkristo)
- Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Mifungo - Benedict Ole Nangoro (Mkristo)
- Waziri Wizara ya Mawasiliano Sayansi ya Teknolojia - Profesa Makame Mnyaa M'barawa
- Naibu Waziri Wizara ya Mawasiliano Sayansi ya Teknolojia - Charles Kitwanga(almaaruf Mawe Matatu) (Mkristo)
- Waziri Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi - Profesa Anna Kajumulo-Tibaijuka (Mkristo)
- Naibu Waziri Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi - Goodluck Ole Medeye (Mkristo)
- Waziri Wizara ya Maliasili na Utalii - Ezekiel Maige (Mkristo)
- Waziri Wizara ya Nishati na Madini - William Mghanga Ngeleja (Mkristo)
- Naibu Waziri Wizara ya Nishati na Madini - Adam Kighoma Ali Malima
- Waziri Wizara ya wa Ujenzi (Barabara na Viwanja vya Ndege) - Dk. John Pombe Magufuli (Mkristo)
- Naibu Waziri Waziri Wizara ya wa Ujenzi - Dk. Harrison Mwakyembe (Mkristo)
- Waziri Wizara ya Uchukuzi - (Reli, Bandari, Usafiri wa Majini) - Omary Nundu
- Naibu Waziri Wizara ya Uchukuzi - Athuman Mfutakamba
- Waziri Wizara ya Viwanda na Biashara -Dk. Cyril Chami (Mkristo)
- Naibu Waziri Wizara ya Viwanda na Biashara - Lazaro Nyalandu (Mkristo)
- Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi - Dk. Shukuru Kawambwa (Mkristo)
- Naibu Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi - Philipo Mulugo (Mkristo)
- Waziri Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii - Dk. Haji Hussein Mpanda
- Naibu Waziri Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii - Dk. Lucy Nkya (Mkristo)
- Waziri Wizara ya Kazi na Ajira - Gaudensia Kabaka (Mkristo)
- Naibu Waziri Wizara ya Kazi na Ajira - Dk. Makongoro Mahanga (Mkristo)
- Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto - Sophia Simba
- Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto - Umi Ali Mwalimu
- Waziri Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo - Emmanuel John Nchimbi (Mkristo)
- Naibu Waziri Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo - Dk. Fenela Mukangala (Mkristo)
- Waziri Wizara ya Ushirikiano Afrika Mashariki - Samuel John Sitta (Mkristo)
- Naibu Waziri Wizara ya Ushirikiano Afrika Mashariki - Abdallah Juma Abdallah
- Waziri Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika - Profesa Jumanne Maghembe
- Naibu Waziri Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika - Christopher Chizza (Mkristo)
- Waziri Wizara ya Maji - Profesa Mark James Mwandosya (Mkristo)
- Naibu Waziri Wizara ya Maji - Gerson Lwinge (Mkristo)
Wakristo 64%
Waislam 36%
Ukiangalia wakuu wa mikoa na wilaya utaona wakristo ni wengi zaidi ya waislam sasa sijui na sifahamu huo udini wa JK upo wapi???
Mwenye data tafadhali azilete jamvini.
kuambiwa ukweli kunauma sana. lakini yote kwa yote hii nchi ni yetu sote. na safari hii jino kwa jino. mguu kwa mguu!.
Nimegundua humu ndani kuna watu(members wa JF) ni wadini sana na ni hao no mashabiki wa CCM/JK nao ni;
1. Malaria Sugu
2. Sokomoko
3. Dar es salaam
..................
Memsahau na rafiki yangu masanilo yeye mpe namba 4 hapojuu ni bingwa wakuwakashifu na kuwatusi waislam,tuache kupandikiza chuki zakidini ktk taifaletu
ni hatarisana kwa mustakbali wa taifaletu,mama yetu Tanzania.
Masanilo ni mtu safi sio mdini wala hakashifu dini ya mtu hawezi kuingia kwenye hiyo list.
Sokomoko udini hauhesabiwi kwa kuhesabu idadi ya mawazili! udini upo kichwani mwa mtu! JK ni mdini na mbaguzi sana kichwani mwake! yeye ndo alisema kunavyama vya kidini hiyo ni mbegu aliyopandikiza!
Kila mtu anastahili sifa anapofanya mazuri na anastahili kushauriwa anapoboronga lakini humu ndani watu wana malengo maalum hawatoi ushauri bali wanachokifanya ni kukejeli na kudhihaki. Wao wenyewe hawajamalizana na naibu katibu mkuu wao chama kinawashinda wanachaguana kwa kujuana ref: viti maalum wataweza kuendesha nchi?
Wamejawa na chuki wakidhani ndio suluhisho kumbe ni ugonjwa mbaya kuliko kansa ya damu. Haya mfukuzeni Zitto lakini mjue kuwa kila kukicha mtafukuzana wenzenu wanajenga nchi hawatajali maneno yenu ya kejeli.
Acha inferiority complex..wewe na wenzako kama mliona usilamu unatukanwa mlibonyeza kitufe kuwaambia MODS? Mliwaarifu wakakataa kurekebisha ? Sasa kama hamkufanya hivyo kuwalaumu MODS waonekane kama ni maadui wa Usilamu huoni kama ni kuleta mfarakano? Kama wewe na wenzako mnaona JF inapinga usilamu, tangia muanze kulalamika mbona bado mpo? Nyie ni wanafiki wakubwa na ningekuwa MOD mngechezea server ban nyote nyie.