Je kibali cha uhamisho kimetoka ?

maliedo

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
1,380
2,000
Natumai mko salama, naomba niende moja kwa kwenye swali

Baada ya mheshimiwa kuingia madarakani alizuia uhamisho wa aina yoyote ili kupisha zoezi la uhakiki.Kwa bahati mbaya sijawahi kusikia kuwa amesharuhusu(ametoa kibali zoezi liendelee) lakini cha ajabu nimeona watu kama watatu wanahama.Sina mazoea nao kwahiyo nikashindwa kuulizia.

Je kibali kishatolewa?na kama hakijatolewa wao wanatumia mbinu gani nami nitumie kama nitaweza .

Natanguliza shukrani
 
Kingeke Mavoya

JF-Expert Member
Jan 27, 2017
621
1,000
natumai mko salama.naomba niende moja kwa kwenye swali

baada ya mheshimiwa kuingia madarakani alizuia uhamisho wa aina yoyote ili kupisha zoezi la uhakiki.kwa bahati mbaya sijawahi kusikia kuwa amesharuhusu(ametoa kibali zoezi liendelee) lakini cha ajabu nmeona watu kama watatu wanahama.sina mazoea nao kwahiyo nikashindwa kuulizia,

je kibali kishatolewa?na kama hakijatolewa wao wanatumia mbinu gani nami nitumie kama ntaweza .

natanguliza shukrani
Watu wanahama kwa aina mbili kuna kubadilisha vituo au wewe mwenyewe kuomba uhamisho ila mimi ushahidi nilionao nikwamba kuna mtu wa sekta ya serikali aliomba uhamisho kama miezi miwili iliyopita lakini kapewa jibu na baada ya likizo kuisha anahamia sehemu nyingine ya kazi hizo nikwamba mbali na ruhusa ya mkuu wa nchi mimi nimeshuhudia hilo la ndugu yangu kwakifupi UHAMISHO UNARUHUSIWA

Neno langu sio sheria kwahiyo tusikilize wengine
 
asante mkuu ,hata mimi nmeshuhudia watu wakihama ila suala la kibali cha kuruhusu sijawah kukisikia
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom