Norshad
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,267
- 12,736
Habari wana JF,
Natumai wote mko fresh.
Naomba kufahamishwa ni hatua gani za kufuata ili nipate kibali cha uwindaji ktk vitalu vilivyoruhusiwa kisheria kwa ajili ya uwindaji.
Pili, ni hatua gani za kufuata mpaka nikapata hicho kibali na je kuna msimu maalumu kwa ajili ya shughuli hiyo?
Naomba nifahamishwe ni hatua gani napaswa kuzifuata mpaka nikapata kibali.
Ahsanteni pia natanguliza shukrani.