Mkuu swali lako halijakaa vizuriNisaidieni kunipa maarifa/elimu ya jinsi ya kutumia keygen, crack kufungua au kuzibua software kwenye pc. Nimedownload keygen, ikaja katika winrar. nimei unzip imenipa mafaili matatu. hapo nimekwama sijui niendelee vipi. Msaada please!
Nili-download Sony vegas movie studio 4.0 Trial. Pia nikafanya hivyo kwa Pinnacle Studio 9 Plus Trial. Web niliyopatia hizo crack ni Keygenguru.com. Ktk web hii unaweza kupata serial lakini wakati mwingine wanakua link ya kupata crack kwa software yako.Mkuu swali lako halijakaa vizuri
Keygen ni kifupi cha cha keys generator yaani kazi yake ni ku generate keys za software husika
Crack ni kuichakachua software husika kwa kumodify ili itumike bila keys
Ingekuwa vizuri ukisema umedownload software ipi na ikawaje
Nili-download Sony vegas movie studio 4.0 Trial. Pia nikafanya hivyo kwa Pinnacle Studio 9 Plus Trial. Web niliyopatia hizo crack ni Keygenguru.com. Ktk web hii unaweza kupata serial lakini wakati mwingine wanakua link ya kupata crack kwa software yako.