Joao de Matos
JF-Expert Member
- Jun 16, 2022
- 334
- 267
Kwani kwenye biblia kuna agizo la bibi harusi au bwana harusi kuvaa nguo au kufunika miili yao kwa vipande vya nguo ?Za ijumaa wana JF,
Suala ya uvaaji shela limenilete changamoto kweli baada ya kutafuta Sana katika mtandaoni.
Shela Ni like vazi analojifunika Bibi harusi siku akifunga ndoa.
Sijasema Ni dhambi , naomba usome vizuri mkuu. Nimeuliza Biblia inasemaje kuhusu kuvaa shela, Kuna fungu lolote linaloelezea Kama Ni agizo, maana mkuu sijafanikiwa kusoma Biblia yote.Nimeshuhudia ndoa nyingi sana zikifungwa bila hayo madude maana kuyapata lazima gharama itumike so asiyekuwa na uwezo siyo lazima avae,shela ni ishara ya furaha na ni vazi la heshima kwa anayeolewa likimaanisha ni msafi na hii nadhani ni special kwa wale wanaoolewa wakiwa bado sealed (wengi wanaolivaa kizazi hiki wanalibaka ilibidi wavae hata vitenge tu kwenye harusi zao)
Obviously wewe ni msabato acheni ku-complicate mambo vitu vingine ni tamaduni tu zipo duniani siyo lazima viandikwe ktk Bible that's why siyo sheria,au kwako wewe kuvaa shela ni dhambi?
Kama ni dhambi tuambie imeandikwa wapi ktk biblia kwamba kuvaa shela ni dhambi?
Umeelewa mada mkuuKwani kwenye biblia kuna agizo la bibi harusi au bwana harusi kuvaa nguo au kufunika miili yao kwa vipande vya nguo ?
Ukimaliza hapo nipe fungu la biblia kuwa maharusi waingie kufunga ndoa wakiwa wamevaa viaatu
Sio kweli liko tofauti na mavazi mengineLile ni vazi tu kama nguo zingine😂
Ninafahamu Kuna mapokeo katika Kanisa, mapokeo kutoka kwa Utamanduni ya jamii flani, na mapokeo mengine Ni kutokana na kutunga na watu.Nimeshuhudia ndoa nyingi sana zikifungwa bila hayo madude maana kuyapata lazima gharama itumike so asiyekuwa na uwezo siyo lazima avae,shela ni ishara ya furaha na ni vazi la heshima kwa anayeolewa likimaanisha ni msafi na hii nadhani ni special kwa wale wanaoolewa wakiwa bado sealed (wengi wanaolivaa kizazi hiki wanalibaka ilibidi wavae hata vitenge tu kwenye harusi zao)
Obviously wewe ni msabato acheni ku-complicate mambo vitu vingine ni tamaduni tu zipo duniani siyo lazima viandikwe ktk Bible that's why siyo sheria,au kwako wewe kuvaa shela ni dhambi?
Kama ni dhambi tuambie imeandikwa wapi ktk biblia kwamba kuvaa shela ni dhambi?
Kwahio shela na gauni la kitenge sio vazi sawa sawa!Sio kweli liko tofauti na mavazi mengine
Ulishakutana na watu kwenye madaladala au mosokoni wamevaa shela za harusi?
Lile ni vazi maalumu kwa special occasion ya ndoa .Sio sawa na mavazi mengine
Meelewa vyema sana ondoa hofu.Umeelewa mada mkuu
Ndio hayako sawa kuanzia kitambaa hadi mshono hadi definition ukiuliza hata mtoto mdogo anaelewa vazi la bibi harusi ni lipo sio hicho kitenge!!Kwahio shela na gauni la kitenge sio vazi sawa sawa!
Mkuu kwangu Mimi nilivyofuatilia nimeona kuwa like gauni la Bibi harusi jeupe ulikuwa Utamanduni wa watu wa maghalibi, ikimaanisha binti Ni msafi hajaguswa na mwanaume yani ni bikra. Ila ikasambaa kote dunia ila kwani Ni ile shela, anayojifunikwa kichwani binti, na ndo maana nimelezea mfano mmoja hapo wa isaka alipokutana na rabekka , rebekka alichukuwa shela akajifunika.Sio kweli liko tofauti na mavazi mengine
Ulishakutana na watu kwenye madaladala au mosokoni wamevaa shela za harusi?
Lile ni vazi maalumu kwa special occasion ya ndoa .Sio sawa na mavazi mengine
Za ijumaa wana JF,
Suala ya uvaaji shela limenilete changamoto kweli baada ya kutafuta Sana katika mtandaoni.
Shela Ni like vazi analojifunika Bibi harusi siku akifunga ndoa.
Katika Biblia tunaona mfano mmoja Rebeka alivaa shela alipo kutana na Isaka. Ila sijapata fungu lililosema Ni agizo kutoka kwa MUNGU, au Nabii au Mtume alisema hiwe hivyo.
Changomoto yangu Ni kwamba hili shela katika Biblia imeelezwa kuwa kwa wakristo Ni Lazima kuvaa siku ya ndoa?, na maana yake hasa Ni Nini.
Lakini pia nahitaji fungu kutoka kwenye Biblia inayoeleza kuwa ilikuwa Ni agizo kufanya hivyo. Maana nimefuatilia Sana Kuna Baadhi ya sehemu mitandoni wanasema sio lazima wengine Ni Lazima Sasa napata shida kidogo.
Karibuni wakuu.
Rekebisha haukuwa utamaduni wa nchi za Magharibi ulikuwa utamaduni wa Agano la kale kwenye Biblia ambao Agano jipya tumeamua kuendelea nao.Viko vingi vya agano la kale ambavyo kanisa wameamua kuendelea navyo mojawapo ni huo utamaduni wa kuvaa shela bibi Harusi.Hatajaurithi huo utamaduni nchi za Magharibi. Tumeurithi toka Agano la kaleMkuu kwangu Mimi nilivyofuatilia nimeona kuwa like gauni la Bibi harusi jeupe ulikuwa Utamanduni wa watu wa maghalibi, ikimaanisha binti Ni msafi hajaguswa na mwanaume yani ni bikra. Ila ikasambaa kote dunia ila kwani Ni ile shela, anayojifunikwa kichwani binti, na ndo maana nimelezea mfano mmoja hapo wa isaka alipokutana na rabekka , rebekka alichukuwa shela akajifunika.
Ila ndo hio NAULIZA andiko liliagiza kufanya hivyo mkuu.
Asante
Mkuu hio kutokana na Mimi kufuatilia kuhusu gauni la Bibi harusi, na sio shela maana shela najua limeandikwa hata katika agano la kale kitabu Cha Mwanzo 24:65.Rekebisha haukuwa utamaduni wa nchi za Magharibi ulikuwa utamaduni wa Agano la kale kwenye Biblia ambao Agano jipya tumeamua kuendelea nao.Viko vingi vya agano la kale ambavyo kanisa wameamua kuendelea navyo mojawapo ni huo utamaduni wa kuvaa shela bibi Harusi.Hatajaurithi huo utamaduni nchi za Magharibi. Tumeurithi toka Agano la kale