Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

Bado tu mnataka kwenda kuliwa hela zenu na wajanja wakaendeshee Hummer?
Ama kweli bora uwe maskini kihali lakini usiwe maskini wa kujitambua kifikra.
 
sioni sababu ya kumtuhumu vibaya mtumishi wa mungu hakika chungeni maneno yenu mungu huwa anasikia na kujibu wanaoelewa wanafahamu. mimi nakushauri uende ukapate neema ya mungu usikubali kudanganywa mungu anasikia kila tuongeacho tuchunge midomo yetu midomo inaumba
 
Back
Top Bottom