Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

Bado tu mnataka kwenda kuliwa hela zenu na wajanja wakaendeshee Hummer?
Ama kweli bora uwe maskini kihali lakini usiwe maskini wa kujitambua kifikra.
Kila roho iishiyo ni lazima iabudu.
Hakuna kuabudu bila matoleo/sadaka/sacrifice.
Matoleo yaweza kua fedha, vitu, n.k
Tofauti ni moja tu; ni wapi unatoa sacrifice yako, kwa mungu yupi.
Si ajabu kuona mwabudu wa mungu A akaona mwabudu wa mungu B kua anapoteza. Mfano ni ambapo mtu aweza kutawanya kwa kunywa kreti la bia kila siku, ama akipeleka mbuzi weupe kwa sangoma, ilhali anaona ni ulimbukeni mtu kutoa zaka kila mwezi kwa mwenzie.
Heri wawekezao kwa Mungu anaeishi, mwenye uwezo wa kutoa thawabu. Kwasababu ni lazima
Uishi kwa kuabudu.


tragedy of the commons
 
Mwakasege ni msanii wa neno la Mungu kama walivyo Lusekelo na Kokobe na Rwakatare.Mwakasege anafanya miujiza ya uongo na kusimulia habari za uongo.Wote wanatumia nguvu za kiza kuwalaghai watu.Someni bible ndugu zangu mpate kuujua ukweli msikubali kusimuliwa bible.
 
naona iyo hummer ya mchungaji gwajima inakutoa roho,acha wivu mkuu, mtumikie mungu nawewe utabarikiwa.

Initoe roho kwa utapeli wanaofanya?bora niendeshe Vitz kuliko kuwaibia wanakondoo.
Zile nguvu za giza kutoka Nigeria we angalia pete zao. Sasa hivi mbona mradi huo.
 
Mwakasege ni msanii wa neno la Mungu kama walivyo Lusekelo na Kokobe na Rwakatare.Mwakasege anafanya miujiza ya uongo na kusimulia habari za uongo.Wote wanatumia nguvu za kiza kuwalaghai watu.Someni bible ndugu zangu mpate kuujua ukweli msikubali kusimuliwa bible.
Wacha wee ulivoongea utadhani una ushaidi kumbe hakuna lolote ambalo unauhakika nalo...wengine sa zingine muwe mnakaa kimya tu
 
Narudia kwa herufi kubwa mwakasege,gwajima,rwakatare,lusekelo na yule tapeli wa mwanza anaeonyeshwa star tv ni matapeli wanatumia nguvu za giza kutoka nigeria.hao ndio manabii wa uongo wa siku za mwisho.
 
mpaka ujue jinsia yangu ndo utanipa kampani?kwa mungu tunapeana kampani jinsia yoyote ndugu.

mi napenda kutoa au kuwa na kampani na jinsia tofauti na yangu...kama wewe ni ke hebu nipitie hapa mtaa wa uhuru,kwenye roundabout ya kuelekea mbita na musoma road.
 
Back
Top Bottom