Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,197
- 2,025
Habari zenu,Kifo ni lazima kwa kiumbe chochote kila kilicho hai na kama tunavyofahamu kifo hutujia ghafla bila taarifa.Wengi wetu tungependa kabla ya Muumba kuchukuwa roho yake basi angetupa taarifa ili tuweze kujiandaa au kuacha wosia kwa familia zetu.
Swali.Kwa mfano Mungu anakupa taarifa kuwa umebakisha masaa24 kufa je jambo gani ungependa kulifanya kabla ya kifo chako?
Swali.Kwa mfano Mungu anakupa taarifa kuwa umebakisha masaa24 kufa je jambo gani ungependa kulifanya kabla ya kifo chako?