Je,kama ungepata nafasi ya kusema kabla ya roho kuacha mwili ungesema nini?

sijui kam niseme nilitumia ujana vizur ila vibaya maana watoto ni wengi sana haswa mikoan ambapo ilikuwa route zangu za safar wakat nafanya kazi katika buses za mikoan ambapo wengine kama 5 tayal wanafahamika ila wengine zaid hawafamiki kama wapo SO NINGETUMIA PUMZI YANGU YA MWISHO KUTAJA WATOTO WANGU WOTE NA MHALA WALIPO mf tabora, babati,kigoma, iringa, kahama nk

mkuu nakuchauri upunguze ukitombi. tubu na okoka.
 
FORGIVE ALL MY ENEMIES NA VINGINE VINGI SANASANA KUWAUSIA AMANI NA MAISHA MEMA...WADENI WANGU WOTE NINGEWASAMEHE
Weweee ni hii hali ya uchumi ilivyo kwanini uwasamehe...... Waambie familia yako kabisaaa kwamba nnamdai flani na flank kabla roho haijacha mwili.... Kwanini usamehe samehe yule ambae unajua hana uwezo wa kukulipa tuu
 
Kwenye matukio mengi ambayo watu walikuwa kwenye hali ya karibu na kifo. Mfano chombo cha maji kinaelekea kuzama au ndege inataka kudondoka walichofanya wengi ni kujaribu kuwasiliana na familia zao "Mke,mume,mtoto/watoto au wazazi" kwa kuwaandikia jumbe za simu wakisema "WANAWAPENDA" na kuomba Mungu awaepushe na kifo.
 
Habari zenu,Kifo ni lazima kwa kiumbe chochote kila kilicho hai na kama tunavyofahamu kifo hutujia ghafla bila taarifa.Wengi wetu tungependa kabla ya Muumba kuchukuwa roho yake basi angetupa taarifa ili tuweze kujiandaa au kuacha wosia kwa familia zetu.
Swali.Kwa mfano Mungu anakupa taarifa kuwa umebakisha masaa24 kufa je jambo gani ungependa kulifanya kabla ya kifo chako?
Trust me kuzimu na jehanam kungekosa wakazi
 
sijui kam niseme nilitumia ujana vizur ila vibaya maana watoto ni wengi sana haswa mikoan ambapo ilikuwa route zangu za safar wakat nafanya kazi katika buses za mikoan ambapo wengine kama 5 tayal wanafahamika ila wengine zaid hawafamiki kama wapo SO NINGETUMIA PUMZI YANGU YA MWISHO KUTAJA WATOTO WANGU WOTE NA MHALA WALIPO mf tabora, babati,kigoma, iringa, kahama nk
Hivi hao wote unawahudumia kweli,?
 
Weweee ni hii hali ya uchumi ilivyo kwanini uwasamehe...... Waambie familia yako kabisaaa kwamba nnamdai flani na flank kabla roho haijacha mwili.... Kwanini usamehe samehe yule ambae unajua hana uwezo wa kukulipa tuu
Pamoja na hayo vitu vyote tutaviacha hapa ulimwenguni
 
The only thing I would do at that point ni kutubu dhambi zangu zote na zikibaki sekunde 30 ni kutamka what we call shahaadah. Kifo safi kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom