Je,kama ungepata nafasi ya kusema kabla ya roho kuacha mwili ungesema nini?

forumyangu

JF-Expert Member
Dec 25, 2016
2,150
2,000
Habari zenu,Kifo ni lazima kwa kiumbe chochote kila kilicho hai na kama tunavyofahamu kifo hutujia ghafla bila taarifa.Wengi wetu tungependa kabla ya Muumba kuchukuwa roho yake basi angetupa taarifa ili tuweze kujiandaa au kuacha wosia kwa familia zetu.
Swali.Kwa mfano Mungu anakupa taarifa kuwa umebakisha masaa24 kufa je jambo gani ungependa kulifanya kabla ya kifo chako?
 

pecial

JF-Expert Member
Apr 4, 2017
638
500
hakuna fursa hiyo kwa hyo sina cha kusema kwani mauti yanakuja ghafla so tujiandaeni nayo kwa kufuata maamrisho ya Mungu na kuacha makatazo yake
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom