wako makini acha hizo! Jk ndo hayuko makini na PHD za mezani! hv kwani hawezi kupewa UPROFESA sababu anazo nyingi 5?MUHAS hawako makini!
basi kichwa kinakuwa kikuuubwa!Luteni Kanali Dr Dr Dr Dr Dr Jakaya Mrisho Kikwete
wamemchakachua tu
na yeye maskini ya mungu bila kujua akachekelea... kama hujasoma bwana yale mambo yanakua kama kichina vile