Je JK Kadhalilishwa na MUHAS

Bazazi

JF-Expert Member
Aug 18, 2008
2,806
3,476
Kwa kawaida kila anayetunukiwa shahada ya uzamivu anavaa kofia ya duara. Lakini MUHAS tar 11/12/2010 walimvisha mhe Jakaya Mrisho Kikwete kofia ya mraba.

Kwangu nikiwa msomi wa shahada ya uzamili ni kukdhalilisha rais wa jamuhuri. Wadau wa JF mnalionaje hili.

Tuchangie hoja bila jazba wa vijiba ya roho. Tafadhali tusizungumzie inakuwaje awe na PhD za heshima tano (tatu za nje na mbili za ndani), tuijaribu kujikita ktkt HOJA ya kofia wakati wa kutunukiwa.

Wasalaam

BAZAZi
 
Au hakupata size yake...PhD inabaidi uwe na bichwa sio kakichwa...ndio maana wamempa hiyo ya Bachelor ya vichwa vidogo
 
Tatizo mkwere mwenyewe na wasaidizi hawajui huo utofauti wa kofia.
 
Kwa Mkwele ilo sio tatizo kwani mara nyingi anafanyiwa makanyanga na anapeta tuu!
 
wamemchakachua tu

na yeye maskini ya mungu bila kujua akachekelea... kama hujasoma bwana yale mambo yanakua kama kichina vile
 
287463_f260.jpg
 
kutokujua kubaya sana. Nilipokuwa najifunza Karate niliambiwa nipige Mawashi geri,nikapigo bonge la ngumi. JK hata angevalishwa kofia ya pembe tatu asingejua na hadi sasa hajui kama ilikuwaje!
 
Walimstukiza kumpa taarifa na akasahau kuwapelekea vipimo vya kichwa mapema...

Kwa hiyo inakuwaje? watai-nullify au watarudia kumpa degree nyingine?
 
Kofia si tatizo...hata kama kingekuwa kitambaa ni sawa tu mbona watoto chekechea wanavalishwa kofia za shahada ya kwanza au ya pili hata na phd. Tatizo ni je hilo tambala la pembe nne anastahili...kweli kwa afya ya jamii Tanzania????.
 
Si hoja hata tuntemeke Sanga alikuwa na masters 7 ila za ukweli ila udokta hata kina Matunge nao ni madokta, wapo wengi tu wengine Dr. wa TOTOZ, DR. wa Glass n.k
 
QUOTE=Safari_ni_Safari;Au hakupata size yake...PhD inabaidi uwe na bichwa sio kakichwa...ndio maana wamempa hiyo ya Bachelor ya vichwa vidogo

Duh! Hii kali!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom