Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,159
- 8,340
kotoka hapa hadi iran bei gani?Mkuu Iran alikuwa na mahusiano mema na USA, tatizo kuna kibaraka mmoja USA walimuweka Shah Mohammed Phalavi, asee jamaa alikuwa anakula maisha, mke wake alikuwa anaoga maziwa mkuu, Iran njaa ilikuwa kali hatari, halafu uonevu ulizidi dhidi ya wananchi ndipo Khomenei alipopindua serikali na vita na USA ikaanzia hapo.
Ni kweli mkuu Iran wana wanawake wazuri,kitakwimu ndio wanaongoza middle east ikifuatiwa na Lebanon n.k
Kwenye ulimwengu wa ki arab Lebanon ndio wanaongoza kuwa na wanawake wazuri.