Je, Iran inaweza kugeuza Aircraft Carrier za USA kuwa Shipwreck?

RTI

JF-Expert Member
Dec 20, 2018
1,542
2,000
jamaa base zao nchini Syria zinapasuliwa kila siku na hakuna kitu wanafanya zaidi ya kulalamika tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Iran alipo zishambulia base za Marekani nchini Iraq Marekani alifanya nn?
Hizo base zenyewe ni base gani hizo ambazo wameshambulia kwa miaka mitano na haziishi tu mpaka sasa ,basi haya ni maajabu.
Yaani wana mgambo wanaougwa mkono na Iran ambao hata sio raia wa Iran ndio una waita eti ni wanajeshi wa Iran.
 
EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
11,312
2,000
Kati ya hivyo vyombo vya nilivyo vitaja hapo kuna chombo chochote kutoka Kuwait?
We jamaa.aiza mvivu kufungua link au bando dogo nakuwekewa screenshot

Soma hako kakipande habari kamili soma link hapo juu
Screenshot_20210124-213806_Samsung%20Internet.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RTI

JF-Expert Member
Dec 20, 2018
1,542
2,000
We jamaa.aiza mvivu kufungua link au bando dogo nakuwekewa screenshot

Soma hako kakipande habari kamili soma link hapo juu View attachment 1685302

Mkuu mm nimeisoma ila ww ndo hujanielewa.
Hicho kijarida ni cha Kuwait ndio na ndio naama nimekwambia habari kubwa kama hiyo unapoona haikuripotiwa na mashirika ya habari kama Aljazera,CNN,BBC,DW,VOA,RT mara nyingi huwa ni uzushi na propaganda.
 
Na wangeripoti hao uliowataja ndio propaganda kubwa zaidi kwasababu ni pro Israel na anti Arabs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MTOTO WA KUKU

JF-Expert Member
May 3, 2012
2,794
2,000
Ss hatuna haki ya kuwa na mahaba na Iran ila ww una haki ya kuwa na mahaba na Israel siyo?
Leta hoja achana na mambo ya sijui mahaba, kwa sababu huwezi kunipangia nipende upande upi na nichukie upande upi?
Ebu leta list ya mataifa yenye nguvu za kijeshi duniani mwaka 2020 tuone hiyo Israel yako iko namba ngapi na Iran iko nafasi ya ngapi.
Iran mwaka 2020 imeshika nafasi ya 14 kidunia na ya pili katika eneo la mashariki ya kati baada ya Uturuki ,
wakati Israel imeshika nafasi ya 18 na ya 4 mashariki ya kati imezidiwa hadi na saudia.
Na tangu hizo list zianze kutoka hakuna listi ata moja ambayo Israel ilisha kaa juu ya Iran kwa nguvu za kijeshi.
Juzi tu hapa shirika la SIPRI limetoka kuitangaza Iran kuwa ndio nchi yenye mfumo mkubwa sana wa makombora kuliko taifa lolote mashariki ya kati.
Kiinchi chenyewe kina ishi kwa misaada kama nchi za kiafirika lakini mnavyo kakuza uta dhani ni kinchi cha maana.
Ndo watest na Israeli waone kifuatacho... Kila siku Israeli inaua wanasayansi wa iran na iran mwenyewe anajua ma pro iran huko Syria wanachinjwa kila siku lakini hatujasikia hata siku mmoja kulivenge na Israeli pamoja na mbwembwe zote za Iran bado anakuwa fala mbele ya Israeli....
 
RTI

JF-Expert Member
Dec 20, 2018
1,542
2,000
Ndo watest na Israeli waone kifuatacho... Kila siku Israeli inaua wanasayansi wa iran na iran mwenyewe anajua ma pro iran huko Syria wanachinjwa kila siku lakini hatujasikia hata siku mmoja kulivenge na Israeli pamoja na mbwembwe zote za Iran bado anakuwa fala mbele ya Israeli....
We una uelewa mdogo sana yaani hujui hata nn maana ya vita vya mawakara?
Kwani mapro America na washirika wake ikiwemo hiyo Israel walipo angamizwa na Russia na Iran nchini Syria Marekani ilifanya nn?
Au Uturuki ilipo liangamiza kundi la kikurdi lililo kuwa likiungwa mkono na Marekani Trump alifanya nn?
Kinacho endelea Syria ni vita vya uwakara kati ya mataifa yanayo iunga mkono serikali na yale yanayo unga mkono waasi.
Kwa hiyo hao wanao shambuliwa na Israel ni mawakara wa Iran ambao ni kutoka mataifa mbalimbali Iran inatoa silaha na fedha tu ndio maana Iran huwa haiyapi uzito hayo mashambulizi.
Hivi una shindwa kujiuliza ya kwamba Israel imeanza kushambulia na kuharibu kile anacho kiita base za Iran tangu 2014 ila haziishi tu mpaka sasa ?
sasa Iran ana hela gani hizo za kujenga base kila siku?
Unaongelea kuuawa kwa wanasayansi
mbona hauongelei wana jeshi na raia wa Israel wanao uwawa na makundi ya Hamasi na Hizibulla yanayo pewa silaha na Iran na Israel anajua kabisa silaha wanazo tumia zina tengenezwa Iran
kwa nn asiende kuvishambulia hivyo viwanda vinavyo tengeneza hizo silaha zinazo uwa raia wake kama kweli yeye ni mwanaume.
Na ukitaka kujua ya kwamba Israel ni mweupe mbele ya Iran jiulize ukanda wa gaza umezingirwa na majeshi ya Israel kila upande lakini bado Iran amekuwa akipenyeza silaha kwenda kwa Hamas na silaha hizo zina tumika kuwauwa hao raia na wanajeshi wake.
Israel mnakuza mno tofauti na uhalisia.
Yaan nchi isiyo weza kuhidumia hata raia wake mpaka ipewe misaada kutoka kwa wagharibi dio unailinganisha na Iran?
 
mchichapori

JF-Expert Member
Aug 5, 2017
846
1,000
We jamaa.aiza mvivu kufungua link au bando dogo nakuwekewa screenshot

Soma hako kakipande habari kamili soma link hapo juu View attachment 1685302

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikuulize.
Project ya kutengeneza ndege kama F-22 na F35 ilikuwa ni zamani sana miaka ya 1970s.
1-Kwa nini taarifa kama hio nyeti Israel wasiitunze waje waitumie kushambulia Iran? huoni kama wana mu alert Iran awe makini? utasema ni jarida la Kuwait na sio Israel wamesema, ina maana Kuwait wamejuaje?
Ok tuseme wamemulika na Radar, kama Kuwait wameona kwa radar it means F-35 ni taka taka kama yule mzee alivyosema, ina maana sio stealth.
Owkay kwa nini Israel wasikane hio habari?, badala wamekaa wanaona sifa means wamefurahi.

2-Kuna evidence za picha ? jinsi walivyokwenda kupiga picha?

Kwa maana mimi ukiniuliza nitakuonyesha uthibitisho.
Hapo chini ni chanzo cha Israel wenyewe (timeofisrael) wakitoa habari kwamba drone ya hezbollah ilipenya kwenye anga la Israel na kwenda kupiga picha kambi mbili za jeshi la Israel bila kugundulika, hata iron dome zenyewe hazijaona chochote,just imagine hao ni Hezbollah ambao wapo backed technologically na Iran.
Hili tukio limetokea majuzi tu hapa, hezbollah wakatoa na video kwenye mitandao, Israel hawajakataa kwa maana kweli kambi ni za kwao.
drone.PNG

Nikuwekee na video vyema utazame mwenyewe hio Israel unayoisifu hezbollah wanarusha drone zao.

Nasubiri na wewe unipatie picha.
 
MTOTO WA KUKU

JF-Expert Member
May 3, 2012
2,794
2,000
We una uelewa mdogo sana yaani hujui hata nn maana ya vita vya mawakara?
Kwani mapro America na washirika wake ikiwemo hiyo Israel walipo angamizwa na Russia na Iran nchini Syria Marekani ilifanya nn?
Au Uturuki ilipo liangamiza kundi la kikurdi lililo kuwa likiungwa mkono na Marekani Trump alifanya nn?
Kinacho endelea Syria ni vita vya uwakara kati ya mataifa yanayo iunga mkono serikali na yale yanayo unga mkono waasi.
Kwa hiyo hao wanao shambuliwa na Israel ni mawakara wa Iran ambao ni kutoka mataifa mbalimbali Iran inatoa silaha na fedha tu ndio maana Iran huwa haiyapi uzito hayo mashambulizi.
Hivi una shindwa kujiuliza ya kwamba Israel imeanza kushambulia na kuharibu kile anacho kiita base za Iran tangu 2014 ila haziishi tu mpaka sasa ?
sasa Iran ana hela gani hizo za kujenga base kila siku?
Unaongelea kuuawa kwa wanasayansi
mbona hauongelei wana jeshi na raia wa Israel wanao uwawa na makundi ya Hamasi na Hizibulla yanayo pewa silaha na Iran na Israel anajua kabisa silaha wanazo tumia zina tengenezwa Iran
kwa nn asiende kuvishambulia hivyo viwanda vinavyo tengeneza hizo silaha zinazo uwa raia wake kama kweli yeye ni mwanaume.
Na ukitaka kujua ya kwamba Israel ni mweupe mbele ya Iran jiulize ukanda wa gaza umezingirwa na majeshi ya Israel kila upande lakini bado Iran amekuwa akipenyeza silaha kwenda kwa Hamas na silaha hizo zina tumika kuwauwa hao raia na wanajeshi wake.
Israel mnakuza mno tofauti na uhalisia.
Yaan nchi isiyo weza kuhidumia hata raia wake mpaka ipewe misaada kutoka kwa wagharibi dio unailinganisha na Iran?
Wewe ndo unaelewa inatosha
 
EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
11,312
2,000
Mkuu unajua kusoma i guess neno "Hezbollah claims" linamaanisha nini?

Swali la pili Israel wanatoaje video ya kitu ambacho hawakukiona??

Ukiwa na akili Israel watoe footages za maeneo yao yaliyopigwa picha na drones za adui kweli mkuu mahaba yanakupofusha.

Lets come our senses hivi Israel akitumia F35 ni kumpa taarifa Iran?? Juu ya aina ya tech aliyonayo? Israel katangaza kabisa amenunue 50 F35 na kwa tech aliyonayo huwa anazi-customized zifae kwa mazingira yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mchichapori

JF-Expert Member
Aug 5, 2017
846
1,000
Mkuu unajua kusoma i guess neno "Hezbollah claims" linamaanisha nini?

Swali la pili Israel wanatoaje video ya kitu ambacho hawakukiona??

Ukiwa na akili Israel watoe footages za maeneo yao yaliyopigwa picha na drones za adui kweli mkuu mahaba yanakupofusha.

Lets come our senses hivi Israel akitumia F35 ni kumpa taarifa Iran?? Juu ya aina ya tech aliyonayo? Israel katangaza kabisa amenunue 50 F35 na kwa tech aliyonayo huwa anazi-customized zifae kwa mazingira yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiko ni chanzo cha habari cha Israel, ndio maana wamesema "terror group", unachopaswa kujua ni kwamba hizo picha ni za kambi ya Israel, hio footage ni kambi za Israel ndio IDF hawajabisha, na kibaya zaidi ni kwamba IDF walikuwa kwenye military exercise na kulikuwa na ulinzi kuzuia drone yeyote ile toka Lebanon.
Kwa kuwa unabisha mimi nakupa na chanzo cha Israel tena (jerusalempost), Hezbollah wametoa footage sio tu maneno.
jpost.PNG

Swali la pili nilikuuliza kama Israel wana picha au video yeyote kuonesha kama uthibitisho kwamba walipiga picha sites za Iran, lakini umenielewa vibaya.
Hezbollah wao wametoa picha za Israel , kwa nini Israel wasitoe hizo picha F-35 walipiga, kwa maana chanzo cha habari kinasema walipiga picha Iran.

Is_Ir.PNG

Tazama Israel ilivyo ndogo lakini ulinzi wa anga tu matatizo mpaka Hezbollah wanapeleka drones kwenda kupiga picha 😅 😅 😅 .
Au unataka nikuletee na chanzo kingine:cool:
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
22,507
2,000
..naamini Iran angewekeza kwenye teknolojia za kiraia na sio kijeshi wangekuwa mbali sana leo hii.

..hawa jamaa wamebarikiwa vipaji na uwezo ktk sayansi lakini wanaangushwa na viongozi na watawala wao wanaopenda vita.

..Iran wangeweza kuwekeza ktk kuunda magari na mitambo kama South Korea na mitambo hiyo ingekuwa inatumika dunia nzima.

..Wangeweza pia kuwekeza ktk kutengeneza madawa kama walivyofanya India ambao leo hii inasemekana wanatengeneza 60% ya chanjo za covid-19.

..Nafasi ambayo India na South Korea wapo naamini ktk sayansi na teknolojia Iran wangeweza kuifikia kama wangekuwa na viongozi wenye maono.

..Samahani kwa kuwatoa nje ya mada yenu.
 
EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
11,312
2,000
Hiko ni chanzo cha habari cha Israel, ndio maana wamesema "terror group", unachopaswa kujua ni kwamba hizo picha ni za kambi ya Israel, hio footage ni kambi za Israel ndio IDF hawajabisha, na kibaya zaidi ni kwamba IDF walikuwa kwenye military exercise na kulikuwa na ulinzi kuzuia drone yeyote ile toka Lebanon.
Kwa kuwa unabisha mimi nakupa na chanzo cha Israel tena (jerusalempost), Hezbollah wametoa footage sio tu maneno.
View attachment 1686191
Swali la pili nilikuuliza kama Israel wana picha au video yeyote kuonesha kama uthibitisho kwamba walipiga picha sites za Iran, lakini umenielewa vibaya.
Hezbollah wao wametoa picha za Israel , kwa nini Israel wasitoe hizo picha F-35 walipiga, kwa maana chanzo cha habari kinasema walipiga picha Iran.

View attachment 1686193
Tazama Israel ilivyo ndogo lakini ulinzi wa anga tu matatizo mpaka Hezbollah wanapeleka drones kwenda kupiga picha .
Au unataka nikuletee na chanzo kingine:cool:
We jamaa bhana unaelewa maana ya kuspy??? Yaani amchunguze then aambie dunia "angalieni sehwmu vinu vya irani vipo" intelligence information is kept top secret hadi zifanyiwe kazi.

IDF mpaka anarisk kutuma ndege za mamilion ya dollars plus askari wake pilots halafu aambie dunia????

Bro kuwa serious basi hata kidogo

Hao Hezbollah hata hizo image zimeripotiwa na jpost IDF wamezikupali kwamba ni zao??Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom