Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,473
- 12,872
Warushe basi tuone sio ngonjeraKuna account moja huko tweeter ya Israel nimeiona wanaonyesha ile misilaha ya Iran juzi, jamaa mmoja akauliza hawa Iran wanatumia GPS gani kurusha makombora haya, jamaa akajibu wanatumia GPS ya kwao but sio hii wanayotumia Marekani na nchi nyengine ila jamaa hakufafanua vizuri