Je, Ipitishwe sheria ya mwanamke kutibiwa na madaktari wa kike tu?

Mzee Saliboko

JF-Expert Member
Jan 29, 2018
1,204
885
Kutokana na sababu mbalimbali za morphology ya mwanamke na vitu vingine vya kibaiolojia, je kuna uhaja wa Serikali kuweka sheria mwanamke atibiwe na daktari wa kike tu hasa kwenye situations ambazo mwanamke ataonyesha utupu wake, kifua n.k.?
 
Kutokana na sababu mbalimbali za morphology ya mwanamke na vitu vingine vya kibaiologia je kuna uhaja wa Serikali kuweka sheria mwanamke atibiwe na daktari wa kike tu hasa kwenye situation ambazo mwanamke ataonyesha utupu wake, kifua n.k.??
Sasa inawezekana kabisa, madaktari wengi haswaa bingwa ktk magonjwa ya wanawake yaani gynaecologist ni wanaume, labda kama hiyo sheria itakuja na mkakati wa kuongeza idadi ya madaktari kwa uwiano wa kijinsia, vinginevyo kwa hali ilivyo haiwezekani, itabaki tu yoyote atatibiwa na daktari anayepatikana bila kujali jinsia.
 
Nikutoe wasi wasi ndugu yangu ethics za kazi ya udaktari sijui ina baraka za Mungu.
Yaani kuna maajabu mno katika kazi hiyo.

Sijui unanielewa!!
Mgonjwa hata awe uchi vipi na uzuri lakini unakuta Dr hata muda wa kutamani huna.sijui ni kwa sababu ya kuzoea kuuona mwili wa binadamu.

Ajabu sasa mkeo/mchumba wako akiwa uchi tu kichwa kinabadili mawasiliano.wakat hospital umecheck wagonjwa kibao no kutamani.

Kiufupi usiwe na wasiwasi kabisa mkeo kutibiwa na daktari wa kiume.
 
Linawezekana hili ila kuna wakati mwingine daktari wa kike anakuwa hayupo na mgonjwa yupo mahututi ni lazima aangaliwe na kutibiwa na dr wa kiume
Zipo nchi ambazo zinafanya hivyo ila wanahakikisha madokta wa kike wapo sekta zote
Lakini kwetu sidhani kama linawezekana kwani hata wa kiume hawatoshi
 
Tatizo hapa ni kufikiri watu wana "uhuru" watibiwe na nani. Huko mijini kwenu labda hilo linawezekana lakini kwa watanzania wengi inabidi tutibiwe na yule ambae anapatikana. Hao madakitari wako ama hawatoshi au hawapo hivyo uchaguzi haiwezekani hasa hasa kama tatizo lazima lipate tiba kwa haraka.
 
Nikutoe wasi wasi ndugu yangu ethics za kazi ya udaktari sijui ina baraka za Mungu.
Yaani kuna maajabu mno katika kazi hiyo.

Sijui unanielewa!!
Mgonjwa hata awe uchi vipi na uzuri lakini unakuta Dr hata muda wa kutamani huna.sijui ni kwa sababu ya kuzoea kuuona mwili wa binadamu.

Ajabu sasa mkeo/mchumba wako akiwa uchi tu kichwa kinabadili mawasiliano.wakat hospital umecheck wagonjwa kibao no kutamani.

Kiufupi usiwe na wasiwasi kabisa mkeo kutibiwa na daktari wa kiume.
Mkuu kweli kabisa huyu demu anakuja, umkague njia, utakua kawaida tu!
sanchi.JPG
 
Wataona umetoa wazo mgando lakini kiukweli ni wazo la kimdahalo.Je Arabuni wao wanafanyaje?wanavozingatia tofauti za kijinsia waliotembea na wabobezi tiririkeni
Kutokana na sababu mbalimbali za morphology ya mwanamke na vitu vingine vya kibaiolojia, je kuna uhaja wa Serikali kuweka sheria mwanamke atibiwe na daktari wa kike tu hasa kwenye situations ambazo mwanamke ataonyesha utupu wake, kifua n.k.?
 
Japo wengine wanaona ni wazo la kipumbavu lakini mimi naliunga mkono. Haya mambo ya wake zetu kutiwa mikono na madaktari wakiume inakera sana
 
Wataona umetoa wazo mgando lakini kiukweli ni wazo la kimdahalo.Je Arabuni wao wanafanyaje?wanavozingatia tofauti za kijinsia waliotembea na wabobezi tiririkeni
The same observation was noticed locally in Saudi Arabia since medical education opportunities have been provided for both genders equally. The latest data from the Saudi Ministry of Health (MOH) in 2017 revealed that the number of female physicians in MOH increased from 4872 in 2006 to 13,239 in 2016...

In Islamic communities women access to education is not a priority. They want to hide them in long black clothes indoors to satisfy men's sexual argues. But are the first one's to demand their female relatives to be treated with a female doctor.
 
Back
Top Bottom