Je, Injinia Hersi Said wa GSM leo 'Kazindua' Tawi la Yanga SC huko Tabora kama nani na je, Katiba ya Yanga inaruhusu hilo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,542
108,877
Dkt. Mshindo Msolla kwakuwa huna tena Kauli mbele ya Yanga SC baada ya Kukubali 'Kumezwa' na GSM chini yake Injinia Hersi Said nashauri 'jiuzuru' kwani hakuna unachokifanya ( ulichokifanya ) pia.
 
Kashawaeleza Sababu Za Kombe Kuyeyukia Msimbazi Mwaka huu....!
Anawazuga kwa Kuwadanganya Mashabiki Oya Oya ( Mbumbumbu ) wengi wa Yanga SC kuwa amewasajilia Beki Shabaan Djuma wa AS Vita na Kumrejesha Herritier Makombo na kwamba amemalizana na Mchezaji mwingine wa Afrika Kusini ( kutokea Kaizer Chiefs ) wakati ukweli ni kwamba mpaka hivi sasa kwa mujibu wa Afisa Habari wao ( Yanga SC ) Hassan Bumbuli Yanga SC haijafanya Usajili wowote ule.
 
Mashabiki ya utelembwe huku mtaani kwetu yanaitwa VIJAMBIO ( Mikund.u ) si unaona huyu jamaa na thread zake nyng huwa ni pumba tu kijambio huyu
 
Mashabiki ya utelembwe huku mtaani kwetu yanaitwa VIJAMBIO ( Mikund.u ) si unaona huyu jamaa na thread zake nyng huwa ni pumba tu kijambio huyu
Na nyie mnaitwa bong'oa FC
FB_IMG_1586931024261.jpg
 
Mwanachama yoyote wa yanga au mgeni mwalikwa yoyote anahaki ya kuzindua tawi la club.....kunautofauti mkubwa kati ya kuzindua na kufungua.

Ufunguzi unafanywa baada ya taratibu za ndani ya club kukamilika. Na tawi kutambulika rasmi. Kuzindua ni ile sherehe baada ya taratibu za ufunguzi kukamilika. Kwenye hii sherehe hata wewe unaweza ukawa mgeni rasmi ukakata utepe wa kuzindua tawi.

Engineer amezindua tawi.....na hakuna ubaya.
 
Na hivi karibuni utashuhudia mabasi mengine Sunlong bus, Zhongtong Climber bus.
Hela inatoa club au nani?
Hapo ni sawa na kusema subiri shemeji yangu ataninunulia IST aliniambia jana mitaa ya saa tisa usiku alipotoka chumbani kwake.Yaani mshaanza mpaka kumpangia mtu hela yake.
 
Hela inatoa club au nani?
Hapo ni sawa na kusema subiri shemeji yangu ataninunulia IST aliniambia jana mitaa ya saa tisa usiku alipotoka chumbani kwake.Yaani mshaanza mpaka kumpangia mtu hela yake.
Ujinga, Ujinga tu ambao umekutawala, hajui Uwekezaji wala Ufadhili wala Mikataba wala Makubaliano ndani ya hivi Vilabu.

Hivi Engineer Hersi akinunua Basi kwaYanga utatoa mfano potofu wa shemeji..?

Mbona Juzi tu hapa demigod amejitapa kuwa Yanga SC imeipiku Simba SC kwa dau la mchezaji Djuma Shaban, sasa hapo hela ya Klabu au Engineer ametoa?

Lakini hatuwashangai maana hata Simba Mo Arena mnasema uwanja wa MO kwa hivyo endeleeni hivyo hivyo mkikua mtaacha huu Ujinga.
 
😂
We unajua? Hapo bila hela ya kanjibai Hamna kitu.
 
Kipindi Jk ni Rais , Yanga kila fursa ya uongozi usio wa kuchaguliwa alipewa Rizwani, Rizwan alikua na nguvu YANGA,yeye ndio alikua anaamua Nani awe kiongozi YANGA
 
Back
Top Bottom