Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Kwa hiyo hicho kinachowaambukiza watu na wakawa dhaifu ni nini?
Kipo au ni hisia tu?
Kama hisia mbona mtoto aambukizwa toka kwa mzazi na aonyesha dalili mpaka apatiwa matibabu, je mtoto nae anapataje hizo stress za hisia ya ugonjwa?
OG12,
 
Ooohhh
Kumbe issue ni chanzo?
Ugonjwa upo mazee, RAIA wanaugua balaa.
Unaweza kuwa na TB na hayo magonjwa mengine ila usiwe na Ukimwi mkuu.

Lakini hoja ya msingi hapa ilikuwa chanzo cha UKIMWI kuwa sio HIV virus kama inavyosemwa. Hapa ndo hoja ya Deception inaingia... Hakuna mtu anakataa uwepo wa UKIMWI
 
Uzuri ni kuwa, maneno na maoni kama haya, hayachangii kumfanya huyu "passenger virus" awe "mhalifu" wa kuangamiza CD4

HIV/AIDS IS A DEADLY HYPOTHESIS IN A MEDICAL HISTORY
Nani anaeharibu hizo kinga za mwili?
Na huyu VVU nae anaingiaje? Anamfikiaje mwanadamu, hana madhara kama tunavoaminishwa?
Iweje mgonjwa wa kawaida wa tuberculosis ambae hana VVU akatibika kirahisi kuliko mwenye VVU? VIVYO HIVYO KWA MAGONJWA MENGINE, kuna tofauti kubwa sana kati ya MTU anaeugua ugonjwa wowote na hana maambukizi na yule mgonjwa mwenye maambukizi.....nini kinachangia ikiwa VVU ni deadly virus?
 
Ni wazi hujasoma makala zilizopita na kuelewa.

Ila umeanza vizuri kwa kujiuliza. Sasa nakusihi ukazisome kisha utajieleimisha. Kuelewa na kutokuelewa itabaki juu yako.

Ahsante
 
Ni wazi hujasoma makala zilizopita na kuelewa.

Ila umeanza vizuri kwa kujiuliza. Sasa nakusihi ukazisome kisha utajieleimisha. Kuelewa na kutokuelewa itabaki juu yako.

Ahsante
Hakuna ubaya ukanielewesha hapa kwa ufupi kisha nipatie link nikazisome kwa urefu zaidi
Asante
 
Kwa hiyo hicho kinachowaambukiza watu na wakawa dhaifu ni nini?
Kipo au ni hisia tu?
Kama hisia mbona mtoto aambukizwa toka kwa mzazi na aonyesha dalili mpaka apatiwa matibabu, je mtoto nae anapataje hizo stress za hisia ya ugonjwa?

Hapa kuna uwezekano WA kuanza kurudia mambo kwa kila anayeuona huu Uzi!

Maswali yako yote yamejibiwa na post za juu!!!!

Ngoja ninywe juice ntakuja kujibu,Mimi kama mwanafunZ WA #Deception
 
Jibu kiufupi, Uzi mrefu kuanza kuupekua sio sport sport mazeee....kwa faida ya wachelewaji tujibie tu
Hapa kuna uwezekano WA kuanza kurudia mambo kwa kila anayeuona huu Uzi!

Maswali yako yote yamejibiwa na post za juu!!!!

Ngoja ninywe juice ntakuja kujibu,Mimi kama mwanafunZ WA #Deception
 
Reactions: B51
Naendelea kukusoma kwa upya kabisa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…